letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nimpende nani? - diamond platnumz

Loading...

[chorus]
cha ah!
nimpende nani?
nimpende eeeh
nimpende nani?
nimpende aaah
nimpende nani?
nimpende eeeh
nimpende nani?
nimpende aaah

[verse 1: diamond platnumz]
tai!
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua
hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
isije siku miezi, naye akanisumbua
ikawa tena kitenzi, mzigo kutua
naogopa sana vichanga wa sasa
kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
wakanicha wakaenda
we si unajua!
wazuri ni wengi lakini k-mpata
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
wamejawa utapeli, tamaa
wazuri ni wengi lakini k-mpate
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
nimpende nani?

[chorus]
cha ah!
nimpende nani?
nimpende eeeh
nimpende nani?
nimpende aaah
nimpende nani?
nimpende eeeh
nimpende nani?
nimpende aaah

[verse 2: diamond platnumz]
yasiwe kama ya wema sepetu
kila siku magazeti
ajue nidhamu na mila ya kwetu
mjuzi kupeti-peti
usimtake ka ‘uwoya nimteme ana hasira
mpola kama jokate
ila sauti ka’ wema akiwa -n-lia
kicheko kama cha fetty
naogopa sana vichanga wa sasa
kwenye mapenzi wasije wakanitenda
nikazama na huku nna mapenzi ya kweli
wakanicha wakaenda
we si unajua!
wazuri ni wengi lakini k-mpata
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
wamejawa utapeli, tamaa
wazuri ni wengi lakini k-mpate
mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala
wengi ni wajanja watoto wa mjini
nimpende nani?

[chorus]
cha ah!
nimpende nani?
nimpende eeeh (eh eh eh)
nimpende nani?
nimpende aaah (oh nimpende nani?)
nimpende nani? (mama ma)
nimpende eeeh (eh eh eh)
nimpende nani?
nimpende aaah (mi nimpende nani?)

[outro]
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua
hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
we nilikuwaga na mupenzi akanizingua
hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...