letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de namleta - diamond platnumz

Loading...

[verse 1]
namleta rais namleta mwenyekiti namle
namleta rais aaaah namleta mwenyekiti namle
namleta mama samia namleta suluhu hassan namle
namleta rais aaaah namleta mwenyekiti namleta
amiri jeshi mkuu samia mtetezi wa wanyonge samia
mpenda haki samia suluhu hassan samia
ooooh mwanamke shupavu samia
mpenda demokrasia samia
aaaah superwoman samia suluhu hassan samia

[chorus]
waite wenyewe waje wayaone maendeleo wanayoyafanya
waite wenyewe waje wayaone kwanini tunampеnda sana
huduma za afya bure kwa wanafunzi
treni mwendokasi barabara za juu
kaongеza mikopo kwa wanafunzi vyuo vikuu
michezo imepamba moto ka kifuu
namleta muone

[chorus]
namleta rais namleta mwenyekiti namle
namleta rais aaaah namleta mwenyekiti namle
namleta mama samia namleta suluhu hassan namle
namleta rais aaaah namleta mwenyekiti namleta
amiri jeshi mkuu samia mtetezi wa wanyonge samia
mpenda haki samia suluhu hassan samia
ooooh mwanamke shupavu samia
mpenda demokrasia samia
aaaah superwoman samia suluhu hassan samia
[verse 2]
na 2025 tunaenda tunaenda nae
tunaenda na mama samia tunaenda nae
oooh tumeamua tuna, tunaenda nae
tunanda na mama wa taifa tunaenda nae
bodaboda mnasemaje tunaenda nae
wakulima mnasema tunaenda nae
wakina mama sijasikia tunaenda nae
vijana tunasema tunaenda nae
ile ile ile ile pale ile
tanzania ya samia ile
inameremeta ile
ona ina amani ile
watalii wanamiminika ile
ina upendo yaani ile
wawekezaji wanafika ile

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...