letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mapoz - diamond platnumz

Loading...

mmh mmh
ooh no no no
jay once again
penzi zito kilo mia hamsini
vile napata rah utaniambia nini
kuna muda kama siamini
na kuna muda ni kaa napendwa na jini
maana penzi lako ndege mtini
niko matawi ya juu nisha tulia mimi
for your love let me sing sing
nisha kolea hatari mapenzini
tamu pipi ya kijiti (anhaa)
ukiilamba unacheka
na kibaridi hikii
niozesheni hata ndo ya mkeka
penzi halishikiki (anhaa)
linavyo tetemesha
si tufunge muziki
nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mapoz na mi
mmmh
na sio ndumba wala
raha tuu zimeniziidi
sio mambo mitala
penzi mwenyewe nafaidi
nak-mbatwa kwa baridi
usinione nnang’ara
natunzwa habibi
matikiti kudondokaa
matikiti kudondokea
marafiki huwa ni nyoka
hivyo chunga wanayoongea
nikande kande nikichooka
sio narudi unanifokea
ona mweni nilikotokaa
mambo fyongo hayajaninyookea
tamu pipi ya kijiti (anhaa)
ukiilamba unacheka
na kibaridi hikii
niozesheni hata ndo ya mkeka
penzi halishikiki (anhaa)
linavyo tetemesha jamani
si tufunge muziki
nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mi na mapoz na mimi
mapoz na mi
mapoz na mi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...