letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de hakuna hasara - devotha severian

Loading...

tumaini langu nimeliweka kwako
bwana yesu w-ngu uliye niokoa
tumaini langu nimeliweka kwako
bwana yesu w-ngu uliye niokoa
nakunipa ufahamu tena eeh
nilio kuwa nimenyang’anywa na shetani nyakati za ujinga

sasa nimekuja yesu
wewe ni mwema
ulinivuta kwako bwana
uniokoe
wewe ni mwenye huruma nyingi
hakuna mfano
maana umenisamehe dhambi
nilizotenda
sasa nimekuja yesu
wewe ni mwema
ulinivuta kwako bwana
uniokoe
wewe ni mwenye huruma nyingi
hakuna mfano
maana umenisamehe dhambi
nilizotenda

kama mzazi na mwanae
aonapo amechaf-ka kwa matope
humuosha kwa maji safi na sabuni
ili mtoto awe safi tena namimi pia umenisafisha uovu w-ngu baba
kama mzazi na mwanae
aonapo amechaf-ka kwa matope
humuosha kwa maji safi na sabuni
ili mtoto awe safi tena

wale waliotekwa na shetani
wanasema
ninapoteza muda kuwa nawe yesu wamemfanya kuwa ni rafiki
tena baba yako
hawajui siku moja watajuta
mmelijua hilo ohoo shetani na wafuasi wake watatupwa motoni
yesu nik-mbatie uuuuu
ili nisiangushwe uuuuu
yesu nik-mbatie uuuuu
ili nisiangushwe uuuuu
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara
hakuna hasara kwako yesu
hakuna hasara

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...