letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bado - deva apoll

Loading...

deeeva
brk one recordz

mbali yako roho inapupa
computer i′m your monitor
kama signal ujanipa baby
baby
ju yako ntaileta vita you’re my light
ndani ya giza my light ndani ya giza baby
baby
i′ll no go cheat you hakika come let me
play ka guitar love play you ka guitar love
aha mmh
ju yako sijiwezi sijiwezi love mtoto
unajuwa mapenzi love wana kuogopa kiboko yao
mmh kiboko yao
wanao tuteta twachane nao najuwa
sababu uko zaidi yao mama maria kiboko yao
mmh kiboko yao
what is love what is love without you
what means love what means love without you

ku kuacha mimi bado
wa ambiye bado
wajuwe bado

ku kuacha mimi bado
wa ambiye bado
wajuwe bado

bado

special special night i’ll no go wait
for kesho nisha ipata bado yetu location
mmh
na wata kesha kesha uhm uhm
waki taka tuachane
i’ll never leave you alone honey
mmh
this love i never seen before kwacha mbaka tu kifo
mmh
ju yako sijiwezi sijiwezi love mtoto
unajuwa mapenzi love wana kuogopa kiboko yao
mmh kiboko yao
wanao tuteta twachane nao najuwa
sababu uko zaidi yao mama maria kiboko yao
mmh kiboko yao
what is love what is love without you
what means love what means love without you

ku kuacha mimi bado
wa ambiye bado
wajuwe bado

ku kuacha mimi bado
wa ambiye bado
wajuwe bado
bado
bado
nomah

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...