letra de usihukumu - daz baba
[instrumentals]
chorus:
usi huk-mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 1:
ukisikia’ kwanza fuatilia, ukishajua ndipo uchukue hatua
usipende kuhisi zaidi ya kudadisi, haifai k-muita mtu wa mola, ibilisi
masela w-ngu wapo’ jela kitambo, w-n-lalamika uswazi hawajafanya mambo
hawajui lini milango itafunguka, wasio na hatia waweze toka
adui au rafiki hadi sasa hajulikani, vipi mwanadamu achukue sheria mikononi
hata tukiulizana yupi anaeongoza kwa mema, usiku na mchana tutakesha’ hatutamuona
chorus:
usi huk-mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
verse 2:
wote tumezaliwa’ dunia tumeikuta, yote hatutaimaliza, tupo njiani tunapita
usimdharau yule usiyemjua kwani baadaе anaweza akakusaidia
usimhuk-mu yeyote yulе’ kwa ajili ya mavazi yake
usimshutumu yeyote yule’ kwasababu ya makazi yake
kama mmekoseana mueleweshane, isiwe sababu mbali mfikishane
maisha ni matamu lakini ni mafupi, na wote hatujui huk-mu yetu saa ngapi
chorus:
usi huk-mu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
sure’ ah…aah…aahaa…
( watu wanaishi vipi )
bora ukinielewa…
( maisha mafupi )
outro:
tusihuk-mu wachanga, yeah! hawajui wanapo kwenda
un-huh!
daz nundaz, sewa side, (?) , majani, tufate haki, ausio?
yeah, mon!
[instrumentals]
letras aleatórias
- letra de aku bahagia - wargi reborn
- letra de the clock shop - trellion & figment
- letra de michael myers - starii wes
- letra de now now - chloe dadd
- letra de fallopian munk - logic
- letra de virkelighetens dop - rakkere
- letra de lead the way - cg5
- letra de hour of need - ryan knight
- letra de esfinge - rita lee
- letra de bones like thumbtacks - benni blue