letra de nipe 5 - daz baba
[intro]
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
yah, mon!
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
mtoto wa ghetto toka underground
uh, d-a-z, d-a-z
[chorus]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w-ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
[verse 1: daz baba]
kama ku-rap na kuimba ‘mic na control
majani na beat nzito ‘bongo records na score
nipe tano tukionana, gonga tukisalimiana, peace tukiagana, fitna haina maana
unipe tano maanisha kuna jealous
maisha ya sasa haikai kulipana visasi
hospitali madawa bei ya ghali, mtaani pesa hakuna tunalia njaa kali
uu-uuu-uuuuh…
nipe tano
[verse 2]
nashuka rhyme ‘tano salamu kwa masela
walio wa jela ‘nawarusha na acappella
rhyme nashuka, panda mzuka
kuba tulipotoka nak-mbuka
nipe beat nipande mzuka, kichwa kimeshachef-ka, maruani yameshaamka
yo’ its like oh-oh
vina vya oh-oh
viunzi tumeviruka kitambo
d-a-z, d-a-z
[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w-ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
[verse 3: la rumba]
nadhani haujanitambua kwamba la rumba namba tatu
au ukipenda nipe tano, usipo penda pia swadakta
nimeshasota sana kwenye ukata ‘alm-n-sura kudata
sasa nataka kwenda juu kamwe chini nisishuke
shida nilizopata utotoni nisik-mbuke
niishi kwenye raha mustarehe ‘sherehe kila saa
nisitembee kwa miguu tena bali kwa motor-car
mi nataka ni shine zaidi ya hapa ‘niwe bonge la rapa
na ku-make chapaa ‘baadae nisije toka kapa
[verse 4]
nipe tano, nipe (?) sio michano
k-mbe hawa wazushi wote wamo
tupo round table, tupo, tupo more stable
tupo kamili gado, tupa rhymes double, double
p-a-b-l-o yaani pablo-
nipe tano ‘slows haina daz, discipline mapambano
vina vya kutisha vina wadatisha
[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w-ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
…
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
yah, mon!
sikia sound
yeyo (yeyo)
yeyo (yeyo)
mtoto wa ghetto toka underground
uh, d-a-z, d-a-z
[verse 5: sajo]
niko simple kama x
bize kama teksi ‘cheki
mambo ya race ‘upesi
yo’ mic check one, two
mi ndio jeki, mi ndio reki
mi ndio verse, mi ndio bass
mi ndio radio, mi ndio tape
yaani noma tu, noma tu, nakuacha unagaagaa
sikia sauti ya kachaa, n-gga
vibe, n-gga ‘sikia
verse ya chupa, niite sajo a.k.a. mentali
yakimwagika hayazoleki maji ‘kachaa mwenye kipaji na-
nakupa dibaji mpaka univike taji
niite chupa
yeah
[chorus: ferooz]
kama ukisakama kipaza kwa hili sauti
ala zinaleta mgonga ‘no
ninapo timba majita w-ngu msisite njooni mnipe tano
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
nipe tano nami nikurushe mpaka kuchwe… eh eeh
(instrumentals)
letras aleatórias
- letra de wait - subpar at best
- letra de mayday - basim
- letra de proces spierdalania [diss edzio] - frostmen
- letra de girassol da caverna - lenine
- letra de powrót - alternatywy
- letra de imma ride (feat. odee) remix - fluxx
- letra de game go - austin crute
- letra de lala fatima - ogb
- letra de wtf - eko fresh
- letra de what i get into - monster mike