letra de berton - dawa
berton lyrics
[intro]
eyaaa
this for you
baby baby eyaaa
mmhhh, mmhhh
[verse 1: berton]
anataka kuwa juu wala hapendi kuteseka
muda wote ana raha smiles mixer anacheka
ana kamwili simple safi ana bebeka
akiniona anageuka mtoto anadeka (weeh)
akiniona anasogea karibu namteka
anachuma mchicha mi nyuma yake nafyeka
home atapajua soon ntampeleka
hakuna atayepinga cause ni mali ya kueleweka
text ig zikazalishe upendo
ushachoka maneno acha nikuonyeshe vitendo
kudate wasaniii mwisho wa siku scandal
leo uko na nanii kesho uko na pendo
all this you see ni matunda ya upendo
safari bado ndefu ongeza na mwendo
milele uwe na mе
milele uwe na mе
[chorus: berton]
mama (mama) nakupenda sana
mama (aanhaa)
mama (mama) nakupenda sana
mama
i will die for you
we ndo dawa we ndo (aah)
we ndo dawa we ndo (aah)
we ndo dawa
unanifanya nipone
we ndo dawa we ndo
we ndo dawa we ndo
we ndo dawa
sogea nikuone
[verse 2: kt]
look into my eyes no fear
girl i swear, i’ll be there
unak-mbuka pale beach twaongea
nilikuambia, wataongea yeah
napenda how you move like that
i know that you got my back like that
pierce through, seize to my soul
i can say i love you, even when we look old
never been bored, smile in your face is what i look for
i can get a piece of you, and then a piece
it’s what you keep for you yeah
i can sing you symphonies but this sh-t is just real for me yeah uunha
body, skin tone, she got it
she gon’ be taking my name
[chorus: berton]
mama (mama) nakupenda sana
mama (aanhaa)
mama (mama) nakupenda sana
mama
i will die for you
we ndo dawa we ndo (aah)
we ndo dawa we ndo (aah)
we ndo dawa
unanifanya nipone
we ndo dawa we ndo
we ndo dawa we ndo
we ndo dawa
sogea nikuone
letras aleatórias
- letra de puolikas tiili - eevil stöö
- letra de death wish - aislinn davis
- letra de inni - b&b (brożas & buczer)
- letra de mr. e interlude* - sk3whooa
- letra de хайперпоп (hyperpop) - heroinwater
- letra de 21g - panda gomm
- letra de korzyści - tymek
- letra de hood nerd - merksvillain
- letra de drink to me - pleasantries
- letra de bios - kara mc