letra de slay king (vitu sipendi) - davy kamanzi / dvk
[intro]
ehen, dvk (black hole)
this one’s for all my slay kings doing their thing out here in nairobi, man
watu wa kuchukua uber na si umoinner
watu wa kudishi kempinski, not kibandaski
ayy
[chorus]
(ehen) nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
[verse 1]
mi na ma-bro tuko rieng (tuko rieng), tuko ma-drinks na mayeng (na mayeng)
kuna mmoja ameninoki (ayy), anadai mjulubeng (ehen)
lakini mi niko hungry, mi nasaka tu msosi
options ni mchezo (ai!) k-mbe kevo si mdosi
ati migingo na teargas (ah!) hizo ni nini? (hizo ni nini?)
leta maharagwe na pasta (ayy), na soda mbili
juzi niliona dem akidarwa (ah?) huko jijini (huko jijini?)
wanashangaa ati nani ananyamba? buda si mimi (buda si mimi)
[chorus]
(ehen) nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi
[verse 2]
ni wikendi (ayy), tunaenda party (ayy)
kila mtu ako barley (ayy)
shawty (ehen), leta nare (ayy)
washa ngem hapo ndani (ayy)
dvk (ehen), flows kibao, lazima (ayy)
hizi line nizi-ration (ehen)
wekwa chobo, pigwa bare kama rachel
rachel, rachel (ehen)
[chorus]
nganya (ayy), wezi (ayy)
panya (ayy), deni (ehen)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
piga (ayy), densi (ayy)
sitaki (ayy), penzi (ayy), shenzi (my fren)
hizo ndio vitu sipendi (hizo ndio vitu sipendi)
[outro]
(black hole)
letras aleatórias
- letra de p.o.v - caleb lopez
- letra de california - samaxuka
- letra de suivant l'astre - jours pâles
- letra de sacrament - lvcifyre
- letra de alaska - sad lovers and giants
- letra de si es trucho es trucho - axel rulay & verbo flow
- letra de wisdom - charlie ray
- letra de are you ready? - hirotaka kobayashi
- letra de slide - barburrian
- letra de i ain't perfect - alan atlas