letra de nimesota - davy kamanzi / dvk
[intro: dvk]
wueh!
dvk
yo, this one’s for all the broke n-ggas, man
sherehe imeisha, m-pesa iko zero, heh
it’s back to work, monday
yo (black hole)
[chorus: dvk]
buda nimesota, mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe- uh
[verse 1: dvk]
leo narauka mapema (ayy), i’m tryna get me some paper (paper)
nimetoka nairobi (what?), hustlin’ is in my nature (ehen)
n-gga, f-ck all of the haters (f-ck them), buda, leo nitapenya (nitapenya)
nataka mif-ko bigi, kama s-m-nya (caster, caster)
fika mboka na matatu (ayy), mi niko kazi (mi niko kazi)
piga toja na kabuti lakini unauza mandazi (unauza mandazi?)
masaa za lunch zikifika ni ugali mix na soda kibandaski (ah!)
kama ndukulu ndio form (ayy), buda chunga warazi (buda chunga warazi, ayy)
sonford (ayy), fritaz (ayy), buda kam tumange njiva (ehen)
na chumvi sidishi bila (ayy)
wacha story za lonyang’apuo, usi-kif up, utafika (usi-kif up, utafika)
hustle (еhen), usi-kif up, utafika
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipе mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (ras!)
[verse 2: andybolo]
machungu ni mingi (mingi), kama hauna shilingi (kusota)
seti kisensi na bingi, maras ni wengi, amini (amini)
ni jeshi balaa, angalau wadau, though sinanga ubaya
msee mpole kusema ukweli, mezeshea, ni fire (ai! ai! ai!)
hakuna simba mnyonge (zi), nipatie beat niroge (rah!)
mi ni mkamba mkonde mix mlami, ndio hiyo story tubonge (wah! wah! wah!)
mi sijichochi (zi), nasaka tu ganji daily, sipotezi wakati
na si bahati, madem wenu wote wananidai juu ya manati, ah!
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko
[verse 3: bh]
ona ganji zimekam, ona bhanje zime-land
morio anzenza ako rada, g-bag na mawaba
siku za kwanza nilikubali sitawahi kuwa mtiaji (never!)
juu huwezi mix mafuta na maji, ata ikuwe we ni nani (never!)
mi huzipeleka bank, mkizipeleka bar (kwa bar)
juu mi na-like chapaa, kusleki, huwezi nipata
nikiboeka najikata, juu dem ako home anadai pasapasa
mi humkuta kila ukuta ya keja, halafu namaliza (juu ya meza!)
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (nipe mic niwe sonko)
[outro]
(black hole)
(phone ringing)
letras aleatórias
- letra de mai più (mtv unplugged) - rkomi
- letra de pa' ti - the change (rd)
- letra de ignorance is bliss - bad blood exhaust
- letra de 3am golden - bluebelle
- letra de disco killa - serena smith
- letra de investe em mim - zé vaqueiro estilizado
- letra de make no sense - 9lucas
- letra de find myself - asking alexandria
- letra de don't save - parvicx
- letra de the paper plane - duckie mrpoetry