letra de nairobi tofauti (remix) - davy kamanzi / dvk
[intro: dvk]
yo, dvk
piga toja na kabuti, ehen
yo, check
[chorus: dvk]
bonga biz na ma-big fish (mm-hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti (ayy)
bonga biz na ma-big fish (mm-hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti
[verse 1: dvk]
morio tembea siku fulani, hapo kando kilimani (ayy)
with the lights and all the honeys (ayy), where the n-ggas getting money (ehen)
majambazi inadi, leta nangos ama baki (my fren)
sanse (ayy), kamata (ayy), nenda wakalale ndani
justice for samuel bana, kesi bado ati ikuwe resolved? (resolved?)
babu aligeuza buda mboga, sasa hawezi evolvе?
slay king kama mimi (ayy), mbona kanyaga umo?
juu ukipatana na mbogi, jua ni the end of the road
[verse 2: vktor mirage]
ero!
eh-еh, eh-eh
nairobi half life, oti alishandwa ridhee
kam slum, tuna-feed watoi na mboga za kindee
iwe ndengu au bundee, na-deliver hivi pundee
mambo ni tofauti na tuko ruti, saunya ndio buti
toja heavy kwenye waist, ndio maana navaa kabuti
mtaani different these days, nahepesha isuzu, maruti
vidole pete njiriva, davy paisha dinga
makabollo ni young achiever, naotea goro na akiba
umo 2, mojamoja!
[chorus: dvk]
bonga biz na ma-big fish (mm-hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti (black hole)
[outro: dvk]
bonga biz na ma-big fish, piga toja na kabuti
runda, easich, ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen, kibich, ni nairobi tofauti
letras aleatórias
- letra de chrome - ot sygma
- letra de what they gone do?☠️ - chuckyy
- letra de voyage x nucci - voyage & nucci
- letra de 1998 - andrew chope
- letra de просто так (simply so) - рахиль (rahil')
- letra de quarter to (live) - radio company
- letra de ninja - wizap
- letra de slide - fetty wap
- letra de klīstošais holandietis - reperis indigo
- letra de știe - mobtrap & angeles