letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de askari ako jaba - davy kamanzi / dvk

Loading...

[intro]
(woooo!)
(black hole!)

[chorus: dvk]
ako jaba (heh-heh!)
askari ako jaba (ako jaba!)
alitaka tukashikishe na supper
tukamsho, “maze, tunakata waba”
ako jaba (ako)
askari ako jaba (ako jaba!)
alitoka kupigwa ngeta manyanja (doni!)
akaingia mboka na jicho nyanya
[verse 1: dvk]
ako jaba
askari ako jaba (ako jaba!)
tulikuwa pale kwa akina sandra
tukivuta shash, tukikata waba (ss! ss!)
askari akanyakua kishada
akazimia kindukulu kwa fanta (ala!)
tulimshika tukampiga bare saba
ikabaki sura imefura ka zimanda

[verse 2: bh]
jaba, jaba, jaba, jaba, jaba
askari kaniuliza, “wapi mama?”
k-mbe sianda nimewacha ikiwa rada
nilitoka tu kununua ma-rubber (ha-ha!)
huskimbitii nimekam? (nimekam)
nimejaza gari na madam (na madam)
mbogi mzima, what ah gwan? (what ah gwan?)
na dvk, what da plan?

[chorus: dvk]
ako jaba
askari ako jaba (ako jaba!)
alitaka tukashikishe na supper
tukamsho, “maze, tunakata waba”
ako jaba (ako)
askari ako jaba (ako jaba!)
alitoka kupigwa ngeta manyanja (doni!)
akaingia mboka na jicho nyanya
[verse 3: dvk]
jikoni kunanuka tu ma-pilsner, ma-ciggie
boys hapo ndani wanajitolea kamili
madem wako na figure wamewasili
mmoja anatekwa nje kwa baridi (wueh!)
mwingine alijiweka chobo
alidai kukunywa chali wake solo (ehen)
peng ting alivua kimono
alipiga picha, akaweka group ya jobo (ayayayayaya)

[verse 4: andybolo]
nilivyowasili ni mimi na wawili, heh (hey, hey!)
pesa otas, mamoshi na ma-drinks kizee (hey, hey!)
luku fisa, ngoto tisa
mwengine anaitw-ngwa lisa anani-call maze, uh
lakini huyu askari ako jaba (ako jaba)
anajifanya sana ati ako rada (ako rada)
kitu hajui ni ras amejipanga (amejipanga)
dvk, bh, tunajikata (tunajikata, uh)

[chorus: dvk]
ako jaba
askari ako jaba (ako jaba!)
alitaka tukashikishe na supper
tukamsho, “maze, tunakata waba”
ako jaba (ako)
askari ako jaba (ako jaba!)
alitoka kupigwa ngeta manyanja (doni!)
akaingia mboka na jicho nyanya
[outro: dvk]
askari ako jaba
alipatana na manzi wa kahawa
akamsho, “wacha nikuchoree saba”
lakini miti ikakataa kusimama (heh-heh!)
akaenda kunywa dawa ya moshatha
next thing, amelala kwa kibanda
alidhani atamumunya kahaga
k-mbe dem alimsanya ngiri saba (woooo!)
(black hole!)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...