
letra de uboya - datty tz
#intro
u uhhhhh
aaahhhhhh
kazuu vibe
#verse
eti simu zangu huzioni
inamaana umefumbaa macho
masikio usikii uonii
sawa unanidharau sana darling
mbona unapitiliza unapiga
bila kujali yangu halii
eti umehamia kabisa
ata uso w-ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w-ngu uhhuuu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
#instrumental
#verse 2
mery upo wapi mama alichonitenda hawa
siungwana bhana,k-mbe zile out zilimtoa roho
mbona sik-mtenga twaenda nae show
k-mbe moyo moyo anasema ngoja ngojaa
nakuta status kampost nicco
nikasema niende nawakuta woote
niulize nikaf-kuzwa toka tokaa
eti umehamia kabisa
ata uso w-ngu nauficha mambo gani
yakufichuana ficha moyo w-ngu
mzaha mzaha imekuwa share
shemu shemu imekuwa fine asijali
yatakuwa sawa rafiki yangu uuuhh
#chorus
uo uboya kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya bora ungeniuliza mimi namjua
muongo uyo uo uboya
kakudanganya atakuoa ah wapi
uo uboya sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani wa uongo ngo
sitaki kuamini mimi no!no!no!
urafiki gani eheeheeheee
#instrumental
letras aleatórias
- letra de неатланты (nonatlantes) - anton kruglov
- letra de education!!! - captain the rapper
- letra de i like it (alesso remix) - cardi b, bad bunny & j balvin
- letra de goofystyle - femtogo
- letra de grüner tee - lokimitdermaske
- letra de up my rank - otm
- letra de 10/10 - prizm
- letra de kupujem prodajem - krtina
- letra de nevertheless (own lane) - bambi bandz
- letra de shitty car - lil force