letra de penzi letu - datty tz
penzi letu lyrics
ohhhh ohhhh ohhhh
ohhhh ohhhh ohhhh
lebanoni tz,datty tz
mwanzo wa penzi letu
watabiri walikuwepo wengi sana
wakasema penzi letu
hata si lakudumu tutaachana
mpaka sasa tupo kwetuu
hakuna noma ni malavidavi kupeana
aibu yao aibu yetu
mi naona wao utabiri wao umekwama
aaahhhh nanana
kwa sasa tunaenjoy life lifeee
waliotaka tupotee tupoteee
check walivyo na bad life
hatuna budi tuwapotezee potezee
penzi letu lin-z-di kwenda juu
nalina nguzo imara
halijengwi kwa matope
mtetezi wetu mola alie juu
mtasibiri sana hadi na mchoke
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
ehhhhhh eheeeeeeee tarirariraa
ehhhhhh eheeeeeeee tarirariraa
nyumba kubwa njee fensi yeyeyeye
toka twadunda kitendesi yeyeyeey
wameshachunda kwa maswtress yeyeyeye
na leo nawachana kwenye verse
mapenzi yetu ni fire ni hatari hatari
wengi tume wa expire ndio kichwa cha habari
mimi na yeye ni kaya ukichanganya na kalii
basi ndio tunawaka tukishapata nari
mapenzi yako full vibweka yeyeyeyey
kwa mitandao wanachoweka yeyeyeeyey
mapicha pciha wanayoweka yeyeyeyey
wakigombana tunaombaga connection
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
penzi letu linakwenda kwenda
kwenda kwenda kwenda kwenda juuu
ohhhh ohhhh ohhhh
ohhhh ohhhh ohhhh
mapenzi yetu ni fire ni hatari hatari
mimi na yeye ni kaya ukichanganya na kalii
letras aleatórias
- letra de dans ma tête - vitaa
- letra de barz on fleek freestyle - tiga maine
- letra de villain - thoto
- letra de dreamland - the spitfires
- letra de made to last - theo lawrence & the hearts
- letra de bury my regrets - she sells sea shells
- letra de too lit - ilish
- letra de full metal black - the royal they
- letra de the tide - rvivr
- letra de real smoke - clique killa, kachura j, sleepwalker