
letra de yah ramadhan - daroon
yaah yaah
aaah aaah aah
(chorus)
ramadhani ramadhani
ramadhani ramadhani
ramadhani oooh daroon
ramadhani imeingia kwa hamu tuliusubilia
mola umetujalia afya njema umetupatia
twakushukuru kwa heshima zote
tw-tamani mwezi usiondoke
ubaki nasi siku zote, siku zote
(pre-chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali
oooh…
tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupate amari
(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
(verse 2)
tuzidi omba sana
usiku mchana
maaswi kuyatupa
uwe baba au uwe mama
mungu ni wa k-muogopa
na tuzidi kushikana kwa pamoja
mtume tumsalie
kiongozi bora sana
kwetu dhamana
yapaswa k-msalia
(pre-chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali
oooh…
tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupatе amari
(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwеzi wenye msamaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha
daroon
totoz nation
letras aleatórias
- letra de calumniate, dictate - dimman [fin]
- letra de atados - laun feat. romsent
- letra de до утра (until morning) - anylone
- letra de ermitaño sin entrañas - tuberculones
- letra de swim (dark water) - nomatic
- letra de with you - dahlia sleeps
- letra de catch a body - alldaway dre
- letra de я знаю ти хочеш мене вбити - moonevea & meowchocolate
- letra de buss that ass - v boogie
- letra de far from home - mixtyy