letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yaa salaam - daroon

Loading...

noooo oh lololololo
mmmmmmmmmmmmhhhhh
darooon yeah yeah

yaah salaaam yaah salaaam
kusema kweli penzi lako ni adhimu
chunga wasije lipaka sumu
likashindwa kudumu mi nitaumiaa
umejaaliwa nidhamu
nikikukosea weeh unakua mkareem
nitakupenda abadani sitokuacha asilani unavutia

weeh ndo asali yangu ya moyo
mungu kakuumba kikamilifu oh
ona mwenzako navyokongeka nyoyo
kwa penzi lako lazima nikusifu oh
nitalinda penzi lisiwe kama toyo
nawe ukawa nyuma mzigo wa madafu
wee ndo my queen kw-ngu mi ndo royal
yaani sitokuacha upo nadhifu ooh

yaah yaah abadan
yaah abadan yaah abadan ooooh
yaah yaah abadan
yaah abadan yaah abadan ooooh
yaah salaam
yaah salaam yaah salaam nakuependaa
yaah salaam yaah salaam usije nitendaa
yaah salaam yaah salaam nakuependaa
yaah salaam yaah salaam usije nitendaa

we nurulaini upo juu ya anga
yaani unang’arang’ara
na nitamind ukilishusha penz kimasiara
love you darling ulivyo mkareem hewalahewala
unamwili laini yaani unavutia mashaallah

kwa idhini ya allah aaaah
allaah aaaaa
yangu karmaaaa
karmaaaaaa
nitakupenda sana sanaaaaa
mwisho wetu uwe kiamaaa

yaah yaah abadan
yaah abadan yaah abadan ooooh
yaah yaah abadan
yaah abadan yaah abadan ooooh
yaah salaam
yaah salaam yaah salaam nakuependaa
yaah salaam yaah salaam usije nitendaa
yaah salaam yaah salaam nakuependaa
yaah salaam yaah salaam usije nitendaa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...