letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de huba - daroon

Loading...

huba

daroon

hubaaa

huba lako
lanifanya nikuwaze wewe kila saa
kila saa
fikra zako
zanipumbaza wallah mi kila saa
kila saa

weeh darling
uvyonipa jamani mi hata siamini
siamini
un lonely for loving haki ya mungu
wallah naapa napendwa mimi
ohooooo

onaaaaah

tena kipenzi jitahidi
zidisha huba utamu uzidi
maana sio kwa raha hizi
wanipa hadi nafahidi
oohooo daroon

huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa

sweet honey girl
sana wanifaa
ukijaribu saliti penzi mama nitakufaa
kweli weeh ni kifaa
honey moyo ushautekaa
minakupenda wallah bilih kw-ngu weeh malaikaa

onaaaaah

tena kipenzi jitahidi
zidisha huba utamu uzidi
maana sio kwa raha hizi
wanipa hadi nafahidi

oooh daroon

huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa
huba huba huba hubaaa
daroon
totoznation
mesen selekta

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...