letra de utantoa roho - darassa
mwana mama, mwana mama yoo
mwana mama, mwana mama yoo
oooh, mwana mama ooh
oooh, mwana mama ooh
moyo ukish-ga simamaga kidedea
unakutaga unapiga na kujichezea
mtu ukipenda you don’t care (you don’t care)
hujui unakokwenda you don’t stare
yaani fumbua macho kama sio dili
na bado kukikucha kwako niko willing
kufanya vitu kama sinaga akili
ni sawa mtu ale mi nilipe bill
nacheka njia gani uko fire
mapenzi yamesala yanaumizaga vibaya
presha inashuka kupanda
kuwaza kuwanda kwa kiza na mw-nga
mwana gwe —
mwana gwe —
—–
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
yes i love so much
i adore you
i cannot deny you
without you am incomplete
you are my number moja girl
namba mbili tatu nne
you are expensive no lies
come closer nipe kiss
umeuwasha moyo kuizima siwezi
sina ujanja umeniteka na penzi
ni maisha ya vaa kuvua sipendezi
na nimeshakaa sisogezi siongezi
whine fi me girl come to daddy
the way you whine it you look so pretty
since your style you got black beauty
—
nakuwaza nakuwaza
you de mother am the father
nakuhitaji wewe
look at the stars in your eyes
na lipstick on your lips
nakuwaza nakuwaza
oooh sea saw, my sweet potato
oooh sea saw, my sweet potato
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
utantoa roho, baby
we utaniua, baby
utantoa roho, baby
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
baby, mwana wa mama oo
letras aleatórias
- letra de she thinks my tractor's sexy - upchurch
- letra de timedontwait - yl (rap)
- letra de contestant number one - itchyworms
- letra de sexxy - seemee
- letra de go insane! - street queer
- letra de fetes des peres - bagzio
- letra de to yourself (all i want) - awakening worship
- letra de revision style - castleford academy
- letra de senza vita - k.e.m. kagune
- letra de best friends - much manda