letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de usiniletee shida - darassa

Loading...

unasema uko miti
nakuona unapost instagram uko beach
unasema uko home you sick
nakuona kwenye picha uko dinner na marafiki

sometimes najiona ka iko wiki
ukisema unanipenda naona kama unanisnitch
kuna muda nachekwa na marafiki
sema ndo vile tu najitetea nachoma bet

eh oh ana ana doh
maana unanitreat ringo za kimarginal
oooh no dagaa naomba po
maana unanichezesha sana it sound so

eh oh ana ana doh
maana unanitreat ringo za kimarginal
kama juzi nimekuja knock on a knock
hutaki kufungua uko ndani and i know

usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida

usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida
so now i am the one to blame here
after everything you done
and what i’ve been through
aah yes sometimes i feel the same dear
na nafeel shame pia lakini nasmile tu

usitake kuniharibia na moods saa hizi
kuleta leta kesi hata bila ushahisi
you tell me that i lie, look me in the eye
if i’m not the one who keep this thing alive

my baby is drive me insane
my baby anapenda complain
my baby ana vitu vingi vingi anafanya
lakini mimi nanyamaza sisemi

my baby is drive me insane
my baby anapenda complain
my baby ana vitu vingi vingi anafanya
lakini mimi nanyamaza sisemi

usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida
usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida

(classic music)

usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida

usiniletee shida
aah mi huwa sipendi shida
sawa niko na mapenzi nawewe
lakini usiniletee shida

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...