letra de nikiondoka - darassa
mwingine hata miujiza hashangai
tumeumbwa tofauti that’s the reason why
mtu akivunja moyo huwezi k-mdai
na moyo unataka ubebe kama vile yai
unanizingua unaniplease i don’t mind
nikaja kuona si we nishai
hakuna nilichofanya kwako nikaweza
hakuna nilichofaa kwako nikapendeza
kuna wakati hisia zinakupoteza
unakuwa mfungwa nje ya gereza
love is blind i lost my mind
mguu nje ndani you don’t concern
labda ningekuwa na moyo wa chuma
wivu machungu yasingeuma
kushindana na upepo unaovuma
hata we usingeweza
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
mapenzi yetu kw-ngu sio utani
ukayafanya ngazi unipande kichwani
marafiki wanasema sikujui ndani
they say hey think like a real man
hii ni faida ya mapenzi kama haufurahii
chumbani unawaza mtu hakufikirii
unayempenda kukupenda sio guarantee
i should never go back for my mystery
ni bora kujikaza kuvumilia
kusema kunyamaza kucheka kulia
mambo mengine deep sana i can’t say
record yetu staki hata kureplay
labda ningekuwa na moyo wa chuma
wivu machungu yasingeuma
kushindana na upepo unaovuma
hata we usingeweza
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
nikiondoka utanimiss nikiondoka
nikiondoka labda utanimiss, nikiondoka
letras aleatórias
- letra de mexicaine - dinor rdt
- letra de uma vez a mais - fábio jr.
- letra de without you - loevi
- letra de lose - the glow (indie rock)
- letra de mirror - survive said the prophet
- letra de vipere - mrseyoakaoni
- letra de pearlboy v - verndolla$
- letra de secret - lula molton
- letra de rolls royce* - lil keed
- letra de your fault - morena (zorramorena)