letra de hater - darassa
hawajali marefu tumekimbiza
wanajenga maumivu kutuumiza
kutuombea shida za kutumaliza
watuzimie mw-nga tukae kiza
ooh hawa watu sijui wana nini ndani
hawa watu sijui anawalipa nani?
angalia huko njiani kampani
watu na viatu vinatembea mtaani
habari zao chuki chuki
rafiki yao chuki chuki
adui wa maendeleo ni chuki
tunaishi nao maisha yenyewe mafupi
habari zao chuki chuki
rafiki yao chuki chuki
adui wa maendeleo ni chuki
tunaishi nao maisha yenyewe mafupi
ukiona mtu anakunja kunja hater
anajenga love anavunja, hater
kalewa mwingine anayumba yumba, we ni hater
hakuna maisha bila ya hater
mwingine anakufollow akuchoree, hater
mwingine anakuchukia bure, hater
anataka ubakie vilevile, jua ni hater
hakuna maisha bila ya haters
wenye chuki hawataki tunapumua
wanashika mashati refa kashawajua
wanakaba penati bado tunatusua
wanatuua baba god anatufufua
mi naishi maisha yangu hata habari sinaga
na love ndani yangu hizo chuki sinaga
kupanda panda watu kichwani kama jukwaa
kujua wanachovaa, wanavyokula na kukaa
maneno upepo yanapita
changamoto ni shule ya maisha
mjinga kufanya ujinga sifa
mzushi hakosi majungu ya kuvika
habari zao chuki chuki
rafiki yao chuki chuki
adui wa maendeleo ni chuki
tunaishi nao maisha yenyewe mafupi
habari zao chuki chuki
rafiki yao chuki chuki
adui wa maendeleo ni chuki
tunaishi nao maisha yenyewe mafupi
ukiona mtu anakunja kunja hater
anajenga love anavunja, hater
kalewa mwingine anayumba yumba, we ni hater
hakuna maisha bila ya hater
mwingine anakufollow akuchoree, hater
mwingine anakuchukia bure, hater
anataka ubakie vilevile, jua ni hater
hakuna maisha bila ya haters
hakuna maisha bila ya hater
hakuna maisha bila ya hater
kama unaleta za kuleta hater
kama unajijua hater sepa
tunatupa kama toilet paper
kwenye viwanja vyetu hatuchezi na mahater
kama unaleta za kuleta hater
kama unajijua hater sepa
tunatupa kama toilet paper
kwenye viwanja vyetu hatuchezi na mahater
letras aleatórias
- letra de pass - ken saikra
- letra de necro-bulimia interfering afterlife - deranged
- letra de kafanske suze - suzi
- letra de replay - nelly baloi,
- letra de andy warhol - gio evan
- letra de doubt your love (traduction française) - marina
- letra de michael myers - kutthamoviestar
- letra de monst3r - scamdal
- letra de wraiths - early graves
- letra de true story - skatsune miku