letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mbwa - d voice

Loading...

[verse 1]
mwambie nishatukana mamba
na mto nimeuvuka
tena niko salama
sijadhurika wala
nishafuta na number
na wala sijamk-mbuka aa
yaani niko salama
nalishwa nalala

[pre-chorus]
niliyempata tonge busu
sio tonge ngumi
nadekezwa rahaaa
sio tena nusu nusu
huba kilo k-mi
mwenzenu nadekezwa rahaaa

[chorus]
ex mbwa
na mashoga zako (mbwa tu)
ex mbwa
na ndugu zako (mbwa tu)
ex mbwa
na marafiki zako (mbwa tu)
ex mbwa
na ndugu zako (mbwa tu)
[verse 2]
kwa uzuri gani mpaka nikulilie
eti nitakuk-mbuka kwani
we baba wa taifa
labda niwe nimedata
ndio nikurudie eee
sina hata cha kujuta
ndio nikupe taarifa

[bridge]
huku wali n-z-
paka chai n-z-
sio wewe komando kipensi
mandonga mtu kazi
huku wali n-z-
paka chai n-z-
sio wewe komando kipensi
mandonga mtu kazi

[pre-chorus]
niliyempata tonge busu
sio tonge ngumi
nadekezwa rahaaa
sio tena nusu nusu
huba kilo k-mi
mwenzenu nadekezwa rahaaa
[chorus]
ex mbwa
na mashoga zako (mbwa tu)
ex mbwa
na ndugu zako (mbwa tu)
ex mbwa
na marafiki zako (mbwa tu)
ex mbwa
na ndugu zako (mbwa tu)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...