letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de shukrani - cor akim

Loading...

kutoka moyoni mw-ngu, nainua sauti yangu
kukuimbia wewe mungu usiye shindwa
kutoka moyoni mw-ngu

nainua sauti yangu kusema asante
oh tumaini langu nilipokaribia kukata tamaa
ukasimama na kuongea na dhoruba za maisha yangu
ukaondoa uzuni ukani jaza na amani yako
nitalisifu jina lako milele

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

kwenye giza za maisha, wewe nuru yangu
kwenye milima na mabonde, we u pamoja nami
nipitapo kati moto sita teketea
ahadi zako ni ndiyo na amina

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

ulinifuta machozi
kanipa furahi moyoni
asante asante asante
ulinifuta machozi
kanipa furahi moyoni
asante asante

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu ninayempenda
sadaka za shukrani, shukrani
kwa mungu asiyeshindwa
uhimidiwe uhimidiwe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...