letra de twakutukuza - congress musicfactory
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
letras aleatórias
- letra de h.a.l. 9000 - vice grip
- letra de irgendwas - captain planet
- letra de fiancee - matursamad
- letra de rolla coasta - gianni mae
- letra de i'm just ken - til now
- letra de that’s him - gunna
- letra de taking up space - olive klug
- letra de 2dmuc outro - tdmuc
- letra de chasing kites - playertwo
- letra de хулиганы (hooligans) - диман брюханов (diman brukhanov)