letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mtakatifu ni mwana kondoo - congress musicfactory

Loading...

mtakatifu ni mwana kondoo

[pambio]
m’takatifu
ni mwana kondoo
bwa-na, mwenye enzi
aliye ndiye
aliye ndiye
aliye na ajaye

[pambio]
m’takatifu
ni mwana kondoo
bwa-na, mwenye enzi
aliye ndiye
aliye ndiye
aliye na ajaye

[ubeti wa 1]
viumbe vyote vyakutukuza
mioyo yetu yakubariki
lugha, kabila mataifa yote
watakatifu wasifu

[pambio]
m’takatifu
ni mwana kondoo
bwa-na, mwenye enzi
aliye ndiye
aliye ndiye
aliye na ajaye

[ubeti wa 2]
twainama mbele zako bwana
twakuinua, twakuabudu
wastahili he-shima zote
sifa zote ni zako
zote

[pambio]
m’takatifu
ni mwana kondoo
bwa-na, mwenye enzi
aliye ndiye
aliye ndiye

aliye ndiye
aliye ndiye
aliye na ajaye

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...