letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kuwa mpole - collo mfalme

Loading...

[verse 1: collo]
onyo kwa marapper, kutoka wizara ya rap
toto, tuliza boli na umskize papa
ni mbali nilipotoka itabidi ujue
kanzu mpya, sheikh ni ule ule
starehe ya ndovu nyani aki go mjini
rap skin educated kaa boyz wa griffin
chumvi nishalamba kwa game nisha-mature
mzee mzima, still fresh, tulia, skiza hotuba
sani ya jahazi yangu ndio maana naiokoa
na venye mnaona kinyozi ashajinyoa
wengi bado wachanga wanangu wanuka powder
so utajiita star na bado hujavuka border?
special dedication kwa wote wanaojichocha
rap inatakanga b-lls, nyap haiwezitosha
hata foreplay bado, mbona wana dukuduku
na jasho yao yote kw-ngu bado ni marupurupu eh
the truth hurts so me naponya jeraha
dogo k-mbuka pia ulimi silaha
sina point ya kuprove histo ishaandikwa
me ndio king isikupite if so ushaambiwa

[chorus: frasha]
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)

[verse 2: collo]
ok, freedom of speech inawagonga kaa track-it
marapper wengi kenya ni wa-soft kaa curl-kit
jocking my tactics, going on public
pubically speaking wako chini kaa arm-pit (eew)
matamshi yote ni lactic
nikipewa beat consequences ni drastic
swagger ni cl-ssic, kutoka cl-ss six
nikipiga smile jijazie ni plastic
hii ni ‘head on corrishon’
unaezaniita kj nikwach0r-a hii state of confusion
ya industry, na marapper waki-chase fake dreams
fire drill ya -rg-sm, wet dreams

[chorus: frasha]
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)

[verse 3: collo]
takeover!
onyo kwa marapper, kutoka wizara ya rap
toto, tuliza boli na umskize papa
ni mbali nilipotoka itabidi ujue
kanzu mpya, sheikh ni yule yule
oh campo, nawasha kolombo na ocampo na agwambo
macho kaa headband ya rambo, red
saa ni kitu inanipa raha, bado lips zinaparara
kesho pia naasha kiki na phillip mwaniki
kwa ofisi za nation yeah
nani kaa mimi?
uta-swear niko on fire kaa ne-yo ukiget hii mziki
macho fungua hakuna mtu anahitaji ma-angolo
kuona quality ya commercial ni poor
mcs nawameza
natoa ngoma niite gospel nione kaa dj atacheza
funga midomo, niko hali ya kukunja mikono
niki-bully micrphone-i na vipuli maskioni
pahali nyash yuko si anajua hii noma?
this industry shady, y’all need to be taken over! rrra!

[chorus: frasha]
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (wee)
kuwa mpole wee (weeeee)
unabonga sana toto oh oh oh oh oh ah
kuwa mpole (come slowly) wee (wee)
kuwa mpole (come slowly) wee (wee)
kuwa mpole (come slowly) wee (weeeee)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...