letra de kidogo - clint fierce
verse 1
agiza shot ya takila
navile ulivyominya we k!ller
aste aste kabla ujanipa nimeridhika
mate mate nikishameza najiridhisha
sipimi mizani
nimetuliza gambani
mtoto christina milani
mmangu mangu muilani
bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (na paralyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)
chorus :
siunipe kidogo baby
(haya weh)
niongezee tena
(haya weh)
oooh yeah!
(haya weh)
kidogo weh!
(haya weh)
usichoke mapema!
verse 2
hicho kiuno round
the way u talk
usije ukaniona kolo
leo…nyama kwa nyama
mimi na yeye!
zileinuka inama
nakesha nayeye!
ai baby (adodo!)
yani toitoi (adoadoado)
kama koni (adodo)
-n-lamba queeni
bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (naparalyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)
chorus :
siunipe kidogo baby
(haya eh)
niongezee tena
(haya eh)
oooh yeah!
(haya eh)
kidogo weh!
(haya eh)
usichoke mapema!
outro :
mhmmm baby!
baby mwaaah!
oooh love!
nakupenda sana
nakupa moyo
hizi hisia
karibia
unaingia…mama!
(yebaaaaaah!)
letras aleatórias
- letra de всемирное тяготение (brux battle, vs orr[es]) - luterdefish
- letra de i told you so by cassadee pope - cassadee pope
- letra de kraft unsres amtes - söhne mannheims
- letra de frag dog - shaka ponk
- letra de dying [traduction française] - cold hart
- letra de tum agar yuhi nazren by nusrat fateh ali khan - nusrat fateh ali khan
- letra de bonus paquebot - oz (ormaz & zeu)
- letra de zjedz skręta - hemp gru
- letra de la duda - erica garcia
- letra de pe drum - andreea bălan