letra de adamu - christina shusho
mungu alipo muumba adamu
hak-mwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye
nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
nakupenda(mpenzi w-ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w-ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w-ngu)asante
tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi w-ngu
nakupenda(mpenzi w-ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w-ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w-ngu)asante
letras aleatórias
- letra de geniocidio - max zanotti & dj myke
- letra de hip hop - a.z.dandi
- letra de chew the fat - tankini
- letra de if i were a god - rob scotlan
- letra de secret song - seether
- letra de adelante! adelante! - macrobiotics
- letra de r.e.d. - a tribe called red
- letra de what we got (black men) - lapzul
- letra de 헤어진 다음 날 (the day after you left) - gummy
- letra de 96' styles part 2 - asoh black!