letra de rudi - christian bella feat. malaika band
ose bandu papa narose
mimi natamani saa ziende fasta fasta
siku ziende mbio nikuone mamaaaa
ukiwa mbali na mimi sijiwezi mamaaaa
unajuwa nadai kuonaa
tabasamu lako na vituko vyako mamaa
nimekuwa kama mwendawazimuu
(yelle ngoswe vip)
mimi mapenzi nambie dunia yako ni wapiiii eeeah
umekuja gafla katika fikra zangu aaaaaah
bila uchawi bila hata ndumba mamaa
mtoto kaniwezaa kafanya mpaka nadata kaondoka tena
unajua nadai kuona
tabasamu lako na vituko vyako mamaa
nimekua kama mwendawazimu
batombelembele welliams [?]
boss mutoto
apocalips and bella
ghafla tu hapokei simu zangu na messange hajibu
nashangaa (hapokei simu zangu message hajibu)
kutumiwa picha zake za kwenye starehe
siotena yule yule kabadilika
syakipemba
ghafla tu hapokei simu zangu na messange hajibu
nashangaa (hapokei simu zangu message hajibu)
kutumiwa picha zake za kwenye starehe
siotena yule yule kabadilika
angalia nimekua kama ndege aliyenyeshewa mvua
wapi kiota, mi nikimbie
mpenzi ulisema kwamba mimi ni wako
na piaukasema kwamba niko yangu
inaniuma saana upendo wako wasije wakununue
balqis rehema, mama teresia
mapenzi kutu gani tafsiri yake
niroho mbili zikutana shi-shikana kama gundi mawazo moja
najua upo mbali basi baby rudi naumia
moyo wa mapenzi nimezaliwa nao
nimeumbiwa wengi lakini nimekupenda wewe
ukombali machoni karibu moyoni
bella chris eeh [?]
hapokei simu zangu message hajibu
nashangaa, hapokei simu zangu massege hajibu
natumiwa picha zake za kwenye starehe
siotena yule yule kabadilika
kichwa eeh, kichwa eeh
kichwa eeh, kichwa eeh
mapenzi inafanya mutu kuwa kama chizi
kwanini unanitesa unataka niwe kichaa
penzi lako limeniumiza moyoni
siosumu inaua sio fimbo inaumiza
nimeshachoka kukusubiri baby
najua mapenzi ndio shule ngumu katika uwanadamu
ndomana navumilia ndomana nakuimbia
nowela mamanachunya
hapokei simu zangu message hajibu
hapokei simu zangu message hajibu
natumiwa picha zake za kwenye starehe
siotena yule yule kabadilika
marry p, mama na house
mama na christopher
pretty mazengo boss lady
mama jacline olande boss lady
hapokei simu zangu message hajibu (cocongemba solo)
hapokei simu zangu message hajibu ()
natumiwa picha zake za kwenye starehe (isq babu bomba)
siotena yule yule kabadilika
letras aleatórias
- letra de kotodur - adverb (bangladesh)
- letra de magic love - andreea bănică
- letra de gawd mc 3 - cihtym
- letra de senseless drama - tj jackson
- letra de acrobats - zoe mulford
- letra de not your boyfriend - uliisses
- letra de panzer ruin (in the hands of gillespie) - current 93
- letra de all star - thisisda & lowkey-e
- letra de silence - bloodbath
- letra de rodeio (bonus track) - ybd will