letra de weekendi - chris kaiga
[intro]
kaa rada mtu asipite na wako
[chorus]
wasee wasee kwani leo form ni gani?
si tuchafue tuharibu bila amani
ianze home alafu tumalizie westi
hakuna form so wasee wako 18′
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
[verse 1]
ni sato siwezi kosa mpango
kusuguliwa tiambo ma-hips na ma–
kaa rada mtu asipite na wako
rada design ya karao saa ya msako
sema huoni manze vile zimeshika
kila mtu hapa manze ametingika
hapa na pale drinks zinamwagika
dere ako maji, home hatutafika
ni saa ngapi? hapa ni wapi?
venye we ni msawa chali yako yu wapi?
umenibamba design niko happy
kenye nadai ni ati u-come nami
niget chance nikubambе kiasi
mi na we ni kaa genge na juacali
nikuchеkeshe na mavitu funny (nikuchekeshe na mavitu funny)
[chorus]
wasee wasee kwani leo form ni gani?
si tuchafue tuharibu bila amani
ianze home alafu tumalizie westi
hakuna form so wasee wako 18′
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
[verse 2]
gathee si unajua already ni weekend
si kashike hadi vidole zikunjike
maweng ndani ya wallet ni mangire
so kila bash tunaalikwa leo tuko in the–
hii ni pre-game wacha zi-regeste
ndio by 6 pm tusikuwe na ting de
pigia mapeng ting waalikwe
ma-pumpum ma slim ting bora ni mashinee
fare itumwe wakifika wakaribishwe
leo ma-tortoise zinaparty na ma-fisi
ingia online itishwa delive
mizinga ka nne na packet ya minute maid
[chorus]
wasee wasee kwani leo form ni gani?
si tuchafue tuharibu bila amani
ianze home alafu tumalizie westi
hakuna form so wasee wako 18′
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
ni wikendi lazima leo niwashe
ni wikendi lazima leo nimedi
sawa
letras aleatórias
- letra de livin' la vida loca - furby
- letra de 161718 - l3g4cy
- letra de something to remember you by - james young
- letra de the sheep and the goats - shadow puncher
- letra de ilovemygang - chilly boi
- letra de yeesh - uncle tony
- letra de pool - bartees strange version - samia
- letra de folds - pushpin
- letra de mockingbirds & jealous folk - dave mcpherson
- letra de chaos & destruction - x1 (maverick)