letra de nitoke - chicha musiq
intro:
wana wanapenda kuniita chicha musiq
wooh ooh yeey is chicha musiq yeay
chorus:
nataka nitoke sio niwazidi wasani walioko nataka nitoke wafahamu kuwa mungu yuko nataka nitoke kimziki nione nikibobea nataka nitoke mama yangu we zidi kuniombea
verse 1:
shida ni nyingi kijijini mina saka hapa mjini angalau nilishe familia na nisisahau aliye nilea
mungu baba n-z-di kuomba
ibariki hustle yangu yakuuza nguo gikomba sitaki nikose waanze kunibonga k-mbuka me ni mwana wako mkate sifai kuomba (huh)
kuna wakati inaniuma nikimcheki mama yangu kimaisha yupo nyuma aah inaniliza kwa sana ila ninaamini utatenda hosana hii mziki nafanya natumai kuna siku itakuja kupenya ( hii mziki nafanya natumai kuna siku nitakuja kupenya)
chorus:
nataka nitoke sio niwazidi wasani walioko nataka nitoke wafahamu kuwa mungu yuko
nataka nitoke kimziki nione nikibobea nataka nitoke mama yangu we zidi kuniombea
verse 2;
shida zimenipiga sana utadhani rambo
baba fanya jambo
ni wewe nangoja bado sitaki nifanye mziki waseme nasaka kiki mwezangu nihit na scandal (huh)
kw-ngu mambo bado kwa wengine gabo
baba usiniweke kando
sitaki kufanya mziki uhit kwenye youtube
nataka kufanya mziki utafanya wewe utubu napitia majaribu kakangu ka ayubu
kwenye kundi la wadaku siogopi kuitwa bubu
chorus;
nataka nitoke sio niwazidi wasani walioko nataka nitoke wafahamu kuwa mungu yuko nataka nitoke kimziki nione nikibobea nataka nitoke mama yangu we zidi kuniombea
nibariki leo nibariki now now now
nibariki leo usiseme no no no nibariki leo wawache maneno no
nibariki leo nami niseme wao wao wao
nataka nitoke sio niwazidi wasani walioko nataka nitoke wafahamu kuwa mungu yuko nataka nitoke kimziki nione nikibobea nataka nitoke mama yangu we zidi kuniombea
outro:
nataka nitoke
barabra kabisa leo tunawaangushia wimbo wake mpya kijana anaitwa chicha musiq kwa mara ya kwanza kwenye radio tuu cheza leo sasa hivi upnext
letras aleatórias
- letra de la fafa - flaco (fr)
- letra de dirty money - willy j peso
- letra de faut pas me toucher - singuila
- letra de stairway to ladies - k-flex
- letra de witam - pih
- letra de before we say goodbye - roy golden
- letra de hindu g.o.a.t - sanjeev
- letra de kill ugly naked - the obsessed
- letra de beloved children of the light blessed - misogi
- letra de sick boy (beauz remix) - beauz