
letra de ona - charisma (ke)
[verse 1]
back to the matter
back to where we started
i really really want ya
i really really need ya
access granted
n0body else can ever put asunder
you grace my eyes you are a wonder
napenda vitu we hufanya
na the night is young tutajibamba
100 degrees when we pull up
you know inakuw-nga combi
ya stima na maji
you know how we do
tuko lit tuko true
tulibless tukachase tumetingika kiasi
yo mko wapi?
tuko party
tumechill gang gang waziwazi
na tuko happy
tuko lucky
too much blessings wanadhani ni bahati
[chorus]
leo mkituona
jua nikunoma
warembo kila corner
ai k-meshona
aiyelelelele
aiyelelelele
aiyelelelele
aiyelelelele
[verse 2]
niliwashow me sina noma
wakanikoma
na saa bidi me naiweka kwa ngoma
sherehe proper na chupa zikikosa
ambia waiter akalete tutakopa
juu tunapenda wote manzi wanene
wakonde hatujali bora tu wasikose heh
ona vile fomo inawaua
coz we make it look easy
na ka si cologne si w-ngejua si hupiga janta daily
sijazaliwa kanairo me ni waku come
kizungu ni ya kusaka mullah
bouncer kula tenga tatu
nisisumbuliwe na mtu
[chorus]
leo mkituona
jua nikunoma
warembo kila corner
ai k-meshona
aiyelelelele
aiyelelelele
aiyelelelele
aiyelelelele
letras aleatórias
- letra de πόσο θα αντέξεις; (poso tha antexeis?) - hat trick (gr)
- letra de the chilton song - the panhandlers
- letra de белый дым (white smoke) - l1zardd
- letra de in fondo al mar - mahmood
- letra de virtual of you - semoothe
- letra de operazione jaguar - ffiume
- letra de the hotspot - bankroll bugz & pacmantv
- letra de keep on movin' - tag (dance)
- letra de одно сердце (one heart) - st3ffxn
- letra de better outside - jae luna