letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de apple - chafu moja wa kitaa a.k.a southern boy weezy

Loading...

ulini shauri
mengi sana kuhusu
kazi jinsi ya kuishi
na watu ukuchoka
kuni k-mbusha mara kwa mara….!

always i remember
baby

{verse}
yeah, kila nikivuta hisia kichwani unitoki
hali bado sio shwari kichwani
mi ni banadamu napo kosea
usichoke kuni weka kwenye
njia iliyo sahihi kupitia watu wako wa karibu
nadhani unajua ni kiasi gani nime jilekebisha
maisha sio maisha tena bila wewe
ni kweli kosa langu lakini nimeacha mabaya
nimeacha uhuni rudi kw-ngu nafasi
yako imekosa mchezaji njoo saidia timu yako
usiishi kwa visasi unaweza ukawa bora uko
uliko lakini ubora wako unaweza usiboreshwe

[pre-chorus] (chafu breezy)

true love never die
back to me mi bila
sio chochote
nak-mbuka maneno yako
nik-mbuke ata kwa ku ni call
nime-miss busu lakoo
baby i miss you
baby back to me
kwanini uende mbali na mimi

always i remember
baby….!

[chorus]
we ni tunda lenye radha ya
ya pekee we ni apple la moyo w-ngu

basi safari yetu isi ishie njiani maana bado
mapema sana

always i remember
baby

[verse 2]
njoo niku vishe medali ya ushindi
unastaili sifa za ustamaili acha iwe
nafasi yako siwezi kuya ludia tena yale
na miss vingi toka kwako sipati
chakula kama chako moyo w-ngu
sio power bank moyo w-ngu una
kila sababu ya kuku hitaji mtu
muhimu kama wewe nime change
mabaya uletwa na shetani na mema
uletwa na mungu basi mi nime mludia mungu w-ngu
i swear sito fanya tena kama ya enzi zile nime change
baby i know you need me, like i need you
kila ninapo ona picha yako basi nak-mbuka
usiku wapendanao, leo ni siku yako ya kuzaliwa
i wish kama ungenipa card ya mwaliko but i’m sorry
nime fika bila mwaliko ni sababu ya upendo tu…!
napaswa kula umiwa na sio kupewa adhabu kama
hii moyoni bado na upendo undred pacent
nadhani bado unajua nini ya maana ya upendo
jana niliogopa sana kufanya hivi lakini
leo nimeweza asa..! we wapi unakwama
kusamehe basi jifunze kupitia mimi
sitaki wasichana club kwa sababu mimi
siku lelewa katika mazingira kama hayo
kupitia wewe mi naweza nika-data
basi ludi kwenye nyumba yetu ya upendo
unganisha furaha yako na yangu tutengeneze
ukarasa mpya sitoweza kuvunja tena sheria
za upendo ndani ya moyo wako

[pre-chorus] (chafu breezy)

true love never die
back to me mi bila
sio chochote
nak-mbuka maneno yako
nik-mbuke ata kwa ku ni call
nime-miss busu lakoo
baby i miss you
baby back to me
kwanini uende mbali na mimi

always i remember
baby….!

[chorus]
we ni tunda lenye radha ya
ya pekee we ni apple la moyo w-ngu

basi safari yetu isi ishie njiani maana bado
mapema sana

always i remember
baby

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...