letra de na mtanyooka tu 100 bars - cash donta
new era niite malenga, mhenga katamba kale
podo imejaa dope nawawinda bila mishale
mbuga zinachanjwa kama chale
bars zinamechishwa kama sare
‘xx’ chapa ilale ‘xy’ nina mingale
kama s-x ni sport? abortion ushindi wa mezani
mistari naiunganisha na dot, kama na-plot ramani
nifate uni-quote au ni-hate uni-shoot
na-meditate na robo kaputi mnazoitaga kush
haleluya no puya ah! udi ka zainush
maujanja supplier paper chaser na-purchase na-push
nina mwani wa kuzisaka ka hustler alietoka bush
‘true lies’ copy cat buni usifosi kughushi
wananiita middle man, 7 fidodido clan
leader wa speedo gun mistari bullet on your mind
una-search ume-find? wow! am single and focused
heart breakers and haters i just send them postcards
mimi sio source, chanzo ni god
upeo ni genes in my blood
rest in peace dad hisia kwenye writing pad
am genious why are you mad!!
are you mad??????
you can’t touch me
kama boss nishakunja ukosi
ni jua la utosi you cant flash me
ni bidii yako kuni-copy ila hatuwezi kuwa mapacha
nimetoka na spare tyre na sirudi hata pancha!!!
zama kama fairy tale, legendary kawa galacha
hip-hop addiction kama s-x ukianza ngumu kuacha!!
so mi na-stick to the code
kichwani nina nyingi kama ipod
ubongo hauna ceiling board
nawatungua bongo mpaka abroad
na-lock un-lock, na-load reload
mliopo on nawa-shut down!, sembuse stand by mode?
word!! nukuu, shika ushauri huu, record
mwambie na mwenzio, whatsapp nae, up-load
sambaza ka’ blogger
mi nakaza no soga
tega sikio toga ila pua ukiibana shoga!
bit-h nam-treat like bit-h, wife nam-treat kama wife
kicheche “hit and run life” kuumizana moyo its not enough
nampenda anipendae asienipenda tupa kule
unaefosi huu ushauri wa bure kazurure mjini shule
what goes around comes around tutagumiana mulemule
ukipata mtungi poa ila ka jamvi la wageni nakuja tule
mkwanja ndio habari ya town hujazinasa we underground
penzi politics ukidunda no love lost no love found
tozi haamini macho yake, hana chake kapigwa sound
peace kwa mademu ila sina shobo nanyi nasaka pound
ma-learner shobo contena ulimi nimegeuza mtaji
kw-ngu kila retina napendwa kisa kipaji
hata ukijifanya mjuaji, you can’t tell me na’e
sio kindezi ukinizingua naruka nawe
mikono kitengo mawe mashuti ka paranawe
ubabe benchi nasambaza upendo ka kalikawe
njoo ghetto sina malaya nina kaya na 3 quire
na-roll kisha fire mboni zote kwenye aya
nasamehe 7,70 napolipa jema kwa baya
coz donta nipo peace zaidi ya mwana wa galilaya
mapenzi yashaniumiza nikaumia ila siyaachi
demu akinizingua nampa kibuti kama clutch
na nikifumania mgoni simpigi punch
namshtua mwanangu mende aje abonyeze touch
ni-search ka bongo star utanikuta cool kitaa
na-sweat ndani ya dojo au chodo napiga spaa (sparring)
resi juu ya dcm, karume natungua kadhaa
shirt by versace we midosho gani unavaa?
sintodata kisa gucci, kikuku au sudusi uchi
nishaona robo nini nusu? nishawika kama kuchi
trap boy, crunk boy nilietusua bila lucci
usienijua nishakuwa cash doro kabla ya doro bucci!!
sijawahi kuwaza kushindwa ushindi daima kama bruce (lee)
always na-try ni-win, try and fail kw-ngu tusi
great thinker ninae-think twice nipo deep kama kamusi
iwe pembeni, juu au chini kote natamba kama mjusi
je upeo ni jicho moja, mawili, au mia kama tausi?
na ungangari ni roho moko, saba, au tisa kama pusi?
na je uso wa mbuzi ni milima ya ndita au vifusi vya chunusi?
na mahaba niue ni kuua michepuko baada ya harusi?
asante mungu kwa kinga, we mw-nga hunipi nuksi
asante bichwa maarifa yamefichwa hizi fikra huzigusi
asante mama umenilea now am grown do you see?
am rap genious akili ni nywele n-z-panga kama msusi
mama acha wa-comment, ni wa juu pekee ndie atakaenihuk-mu
waroge juju likidunda wakoroge hata sumu
huh!! wanadai sintodumu
hawajui nimezaliwa kwa sababu na ndo maana nipo humu
niite heaven sent niliekacha madhabahu ila cypher ndo somo
na sijaasi kwa jesus so shetani tuliza mshono
mungu kaniunga bando unlimited nitapike bila kikomo
ila ka fikra zako zina expiry date
zi-update vinginevyo hautoelewa yaliyomo
outro
yeah ichio nade?( in luo meaning umeamkaje?) si un-z-jua harakati za mtu mweusi?
yeah na mtu mweusi mwenyewe ndo mimi hapa rapboy cash donta
yeah na mtanyooka tu!! dats w-ssap shout out 2 all my ninjaz
www.facebook.com/cashdontatz
www.reverbnation.com/cashdontatz
letras aleatórias
- letra de quicksand - sedona
- letra de внезапно смертен (suddenly mortal) - амон-ши (amon-she)
- letra de tuh moment #105 - pe$o pete
- letra de lifestyle freestyle - vafrinto
- letra de are you listening to the hÿssening? - the hÿss
- letra de ultraviolet - eco virtual
- letra de rêve - eikiro
- letra de paj - loxell
- letra de kein schema - dr. faustus
- letra de fractal - traian (xraian)