letra de nakutegemea - by monica bulali
Loading...
uliye mwanzo nakutegemea
uliye mwisho nakutegemea
uliye alpha nakutegemea
uliye omega nakutegemea
bwana
nakutegemea-2
yesu
nakutegemea-2
uliniumba nikuabudu ewe bwana
tegemeo la maisha yangu ni wewe yesu
umenisamehe dhambi zangu messiah
umenisafisha ukaniokoa mwokozi w-ngu wee
kama sio mungu w-ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w-ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe jehovah
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea-4
upendo wako ewe yesu ni wa ajabu
ulikufa msalabani kwa ajili yangu
kwa mapigo yako yesu nimewekwa huru
umeniokoa ukanikomboa messiah
kama sio wewe yesu w-ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w-ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe bwana
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea-4
letras aleatórias
- letra de 420 - hella hell
- letra de imposition of depravity - iniquitous deeds
- letra de flawless - pipo beatz
- letra de slight sad - xxtoneri zzz
- letra de sin aliento - aleks syntek
- letra de vístete - aleks syntek
- letra de fah fah fah fah - bc raff
- letra de you are what i eat - toecutta
- letra de better than - jeronelle
- letra de olyan mint te - ak26