letra de nairobi - buruklyn boyz
[intro: ajay]
yo, tano nane
kwani ni kesho?
si kesho
[chorus: ajay]
tuna-take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh-huh, uh-huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a-try ku-resist

[verse 1: ajay]
kwa wale hawani-recognise, uh, mi ni big boy uno
kwa hizi sides bado unakangwa hata ka umeivisha judo
manambling tunawa-round, ni ka tunacheza ludo
mresh wako ana-slide dm, ah, sina time ya makuro
bro w-ngu alipurura stock, pia mi nikabaki nime-finesse plug
hawa mariza wanaona wanaeza do juu wamepiga ma-rags
itabaki tutoke kwa ground, tuache kuitwa ma-local thugs
ma-hater kwendeni huko, si hufanya kitu juu ya ma-fans (kwenda!)
tuko on top juu ya kicc, ma-ops sere mzima tunawa-ping
ki-pubg au cod but tuna-real kwa hizi streets
we ready to risk, hatutajibali, hatuna pupa, hatu-hang na fally
we jua hii gang ni kali, inapendwa na madem wa geti kali
tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
maziwa zetu ziko freshi ndenu, we uko na ndegi zenu imbo (kwendeni)
uta-survive aje kwa jungle, man, na hautafuti doh (yo, yo)
[chorus: ajay]
tuna-take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh-huh, uh-huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a-try ku-resist (akam, akam)
tuna-take over nairobi mzima
east, west, mpaka cbd (uh-huh, uh-huh)
hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
si ndio the trend, ntv, kwa hii game si ndio ma mvp
na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a-try ku-resist
[verse 2: mr right]
ma-goon wameivisha drill, 254 si manamba uno
unaeza uliza namba uno
mi nadai cash, doh, gwap, hadi ma-euros
t bop ki-unknown t, man, i got gyally on me
kwa kichwa nina ma-alphabet, abcd
stay tuned kwa hii tv, na team ina-shut down cbd
na ma-rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa bcg
stay tuned kwa hii tv, na team ina-shut down cbd
na ma-rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa bcg
uh, niko jo kwa scene, mkono zinarushwa right and left
kwa street usibebwe ufala, go hard ka chain ya bmx
big boys tunaenda viral, breaking news kwa cnn
na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa x
ma-bro this life is crazy, and welcome to the city of s-x
hawa wasee wame-carry ma-knives, skengs, hmm, for defense (bow)
juu gang yu hukuw-nga safi usitu-tempt, no offence
na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa x
letras aleatórias
- letra de no subliminals - safone
- letra de heatstroke - slow ufo
- letra de box in a heart - the maine
- letra de retrogradni merkur - warning! coffee
- letra de ride along the feeling - sansha
- letra de chillies - rare breeds
- letra de nog een check - rotjoch
- letra de lasilinnut - muovikukat
- letra de knock knock (remix) - icetresavage
- letra de nothing useful at all - weatherwriter