letra de sio vibaya - buki
mungu atakupa na salama
akuhifadhi na kila lenye shari
akutunze mpenzi w-ngu
ishi vema
akuepushe madada matapeli
liwalo na liwe sawa
naomba niwe rafiki yako
naomba msalimie sana
aliyeteka moyo wako
nilitamani niwe mie
ila tatizo sina kipato
haya mwenzangu na mie sawa
huu ndo muda wako
siyo vibaya
mara moja moja ukanitumia meseji
sio vibaya
ukipata nafasi
uje unicheki
sio vibaya
j-po nikipiga simu
unampa yeye anapokea
sio vibaya
nikituma meseji unampa yeye nachati nae
ya zambarau
ukaichuna rangi ukaifosi iwe nyeupe
ukajisahau licha upendo wa dhati
ukaniona kama kupe
ulipanda dau shida sio ibilisi wala usimuongope
angalau
uniache nipumzike
kwa maana
unyonge w-ngu upole jamani ulifanya unione
mwenzako karidhika na hali yako
tusisumbuane
nalishwa kambale
utamu wa samaki
changu wacha ninenepe
unalia unaniigizia
futa na namba zangu
liwalo na liwe
sawa
wacha niwe adui ako
usijisumbue wala
mie sio nyota yako
sikupendi ndio
mimi sio kibonde wako
siyo vibaya
mara moja moja ukanitumia meseji
sio vibaya
ukipata nafasi
uje unicheki
sio vibaya
j-po nikipiga simu
unampa yeye anapokea
sio vibaya
nikituma meseji unampa yeye nachati nae
letras aleatórias
- letra de wanita dalam cinta - rintony
- letra de fall - joshua hyslop
- letra de el cristo de palacagüina - carlos mejía godoy & los de palacagüina
- letra de el dueño de tus besos - silvestre dangond
- letra de 888 - maeckes
- letra de on our way - saint jordiii
- letra de life goals - linez
- letra de automatic brain - the gap band
- letra de milkshake - riverdale cast
- letra de new age hustle - omie