letra de kila mahali ft. ellisha james - bruky the emcee
[produced by: kevootraxx]
intro:
noiz arachugaa!
kevoo ni kwikwirii! hahaaaa
ayye
ayye
ayye
ayye
bruky!
olande!
chorus:
mbona huonekani?(mbona huonekani)
ni swali ni utani(utanii)
habari ni gani
sikusomi kwa ramani
waaapi!!
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
verse 1:(bruky the emcee)
eh!
sionekani vipi kama hujanitafuta vipi utanipata?(vipi utanipata)
unaweza browse vipi kama kwenye ng`ora yako hujaunga data?(hujaunga data)
maswali yakipuuzi
kipuuzi
kipuuzi
kipuuzi
mfano, kunywa chai kwa mluzi
mluzi
maluzi
maluzi
maluzi
hawapendi kuniona nikifanya
nikifanya yangu wao ni kubana tu,(wanabana sana)
hata bado sij-panda
wanataka kunishusha
labda wanataka mimi nidanje tu(labda nife nini?)
nikickia kufanya mimi nafanya,(fanya na fanya)
nidhamu ya uwoga ndo sinaga,(kamwe)
nikitaka kufanya mimi nafanya,(fanya na fanya)
we ni nani labda(k-maanisha kwamba)
nikuogope labda
eh!
chorus:
mbona huonekani?(mbona huonekani)
ni swali ni utani(utanii)
habari ni gani
sikusomi kwa ramani
waaapi!!
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
verse 2:(ellisha james)
ayy
ayy
eish
kila mahali
making moves washanipa kibali
ayy
ayy
hali ni hatari
machizi maskani wanauliza maswali
oh!
yo! where you been ma n-gga?(where you been!)
yeah i been tryna` figure(tryna` figure!)
kazi kazi sitaki ujinga,(ooh yeah)
konda, kidala, machinga!
ellisha james that`s the name goes
kuwa the great that`s the main cause
born to win, not to loose
mama hakulea mjinga, sitaki upuuzi(get it!)
na kama unanionaga mzushi
nkizama chimbo i bring the new sh-t(wooh!)
you end up seeing me on the news
nkifika mbali mtoto wa juzi
yeaah!
nalewa nkitafakari msoto wa juzi
ayy!
ni uzuri nishapata nauli yakwenda juu
yeeaah!
chorus:
mbona huonekani?(mbona huonekani)
ni swali ni utani(utanii)
habari ni gani
sikusomi kwa ramani
waaapi!!
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
bhana we
niko hapa
niko pale
kila mahali(kila mahali)
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
kila mahali?
kila mahali
outro:
l!cky mix!
letras aleatórias
- letra de имаш ли сърце (imash li sartse) - азис (azis)
- letra de otra vez - live - daniel, me estás matando
- letra de состав объединения opg city music (list) - opg city music
- letra de andrich - einmalique
- letra de cazibə - dilara kazimova
- letra de bags - tha god fahim & nicojp
- letra de varjo pitenee - sami kukka
- letra de soir ce je t'aime - khozar fk
- letra de gloom in full bloom - i remember 2006
- letra de freakbob - nero (rap)