letra de maisha - brokuod
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
nimejikaza sij-pata
pande zote duniani nimetamba
nilisoma nikatamarc
mpaka leo kazi sij-pata
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na kagari nimebuy
na kanyumba nimejenga
juu amani nilidai
and am not about to die
with your pointless agendas
na hamjanijenga
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
bado napambana ( mbana, mbana, na maisha we)
napambana na maisha we
napambana na maisha we
letras aleatórias
- letra de último verão - julio reny
- letra de menina moleca - palavra cantada
- letra de 765 motivos pra morrer - facção central
- letra de la nueva belleza - jason mraz
- letra de hino de viçosa - hinos de cidades
- letra de festa do hominhoco (uma banda diferente) - backyardigans
- letra de a força do silêncio - cidadão quem
- letra de ridin' dirty (chamillionaire cover) - zolof the rock and roll destroyer
- letra de um minuto - jeanne mascarenhas
- letra de corpo doce de mulher - benito di paula