letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de big fat cheque - breeder lw

Loading...

yo! we was down but things got better
big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres

ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres
we was down but things got better
big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres

ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres

yo, one man army kanairo ndani man’s on the road to riches
my bros never leave me hanging tk mzima si imejaa ma sickhead
mjuniour ako missing mbali na baby mom’s anadai nimlishe
but na fam ni fam na blood is thicker so mi sijai lose interest
ma oriji pekee no rejects, tulianza tenee from ages
ni step by step on stages, na reminisce niki sip i’m faded
one mic na merista zishuke zikifuatana ka bible pages
akikuja hajai vaa decent me naeza tell anadai some babies
ningeomoka na futa before nikakosa kujituma nika flop
never been lucky of course labda baraka za jah jah ndio more
hii german kwa jam sio neutral na alele ni ya kariokor
na mambang’a wakwende uko nilishikwa bila ku break law
mafan tour inakam kuweni wapole kuna vitu na plan
maisha wanaishi kwa gram tofauti sana ukikuja kwa ground
budangu alijam nilimlet down i hope ata understand
mi si pilot, engineer ama surgeon but i’m still the man
yo! we was down but things got better

big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres

ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres

we was down but things got better
big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres
ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres
yo, ndakuchapia mbili tatu ya vile unaeza kuwa numero uno
ata ka msupa hupenda ma bad boy usiwahi omba p-#y na fujo
arif engineering graduate ako mtaani anakinda ma bull dog
hapa kenya ahadi no chocha, deep state ish-geuzia ruto
bidii bidii ndio najua, nikisema inakua ni sure
shingo icy skia mafua -cough- -cough- mi naugua
one time for the time tulikosa chwani ya kijamo ya k-maliza pressure
pesa imelost, mashake on sale wanauzia nani hizo acres?
sikuhizi na pree ma tesla, bank transfer no mpesa
ithaa pia ime enda enda matha -n-lia nafaa kujenga
opps niliskia wako emba? niko tassia na ma member
operation kuwatenda ching a man hadi abaki mteja
life is a gamble bruh, but leo sio ka kesho man
kwa mangoma nafaa kusnap but leo nabonga facts
niliface my fears one on one mi sijui ku relax
na bleed kwa beat, feel my pain naifanyanga from the heart

yo! we was down but things got better
big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres

ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres
we was down but things got better
big fat cheque juu ya meza
from the gutter nilifikia macheda
lazima! lazima! tushike ma acres

ghetto youth on a mission remember
vile siku ziujaza calender
kuna siku moja utaaja penya
lazima! lazima! tushike ma acres

budangu alijam nilimlet down i hope ata understand, mi si pilot
engineer ama surgeon but i’m still the man
ni step by step on stages, na reminisce niki sip i’m faded
mafan tour inakam kuweni wapole kuna vitu na plan

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...