letra de off mood - bravo the son
verse 01: j93
they talk about the fame, godd-mn mi nataka dow
tuzo za kibabe niweke heshima zaidi ya ballon di or
niwe komandoo niwanock things on yah door
wametaka vita mama yangu uuwh (oh my lord)
hakuna kujuana sasa tunfanya kazi
mwendo mpera mpera kaa pembeni paparazi
maisha ni magumu hakuna mjomba na shangazi
vitu vimekaba hawashuki tena wapanda ngazi
vile nilianza kila mtu alidiss no
level ziko juu am the besto now they wanna know
hakuna unachojua kaa pembeni boya machino
nimetoka sa kuzimu if you don’t know now you know
bravo, abby, cool, son
wambie, maboya, its our turn
cuban, jaco, deal done
dream, living kama utani
walitaka battle sasa wambie waje kwenye flow
rappers play back sishindani nao kwenye show
uwezo wao mdogo bars mbili tena yoyoyoh
najambisha wakubwa mi ni mdogo lil bow wow
dini ya siku hizi inanuka ngono pesa
mama zetu miujiza bado inawatesa
najua siwezi k-miliki hela kama za bakhresa
ila siwezi shindwa kuendesha hata verossa
eti unachana unamjua bravo wewe
siwezi kushindana na kunguru hawa mwewe
hakuna tumaini hawa rappers ni kiwewe
nafanya yangu hayo yako utajua mwenyewe
verse 02: bravo the son
wanataka nijishushe, nijifananishe na wao
vipi niwakalishe ama niwarudishe makwao
mtoto wa kizaramo so nawakilisha mwambao
wakuja wananipima so wanabonga mishe kibao
na sina mishe na wao, mi nakusanya mafao
hii gemu nikija stafu nikayasafishe makao
zungu baba lao, kiwalani chata lao
kaa bado hauamini kuja tuwakalishe vikao
huu mchezo unachezwa na mimi ndo masta eti
kila mechi bao n-gga sijawahi beti
nikipita kwao hudai hawanijui eti
halafu huja inbobo broo niandikie verse
henh, right now nawakata staki shobo
kila kona nachakaza napakaza nachapicha logo
naona mavi yamewabana si wakate gogo
na sihitaji kupambana n-z-disha nyodo
cheki nkiwa na wana nikifanya wanahanya
zidi kupambana taratibu nawakanya
nimeshindikana j-po wajinga wanabana
njia ni za panya hawawezi pita hawa mamama
vile speedy mi na go, nawapita sioni soo
mi ni msela kwenye booth ukiniona ka bishoo
nimekuja saka dow, everyday getting
i got love for ma n-ggaz kiwalani here we goo
eddo bits words young lunya ndo ma cousin
i got big words sina usela hata na dozen
i got respect ya masela ya ma shpape
tunmake hela mwisho wa wiki kina happen
tin yeyo sammiem where you at anko
mwambie bana tukutane ambiance hapo
tule zege mishkaki na badae msako
wa zile bebe kali kali twende kati hapo
eeh…here we go now we ballin
mapromota kwenye show they be calling
macho yangu kwenye dow ndo magoli
na wachumba walonitosa am sorry
letras aleatórias
- letra de la noche (a dueto con sandoval) - en vivo - presuntos implicados
- letra de dumbledore's farewell - a.nunn
- letra de time - rise
- letra de 6 min freestyle - lil uzi vert
- letra de chasing stability - koncept
- letra de loveyourlife - ten typ mes
- letra de die kunst des krieges - sentino
- letra de honey - swim deep
- letra de blue dolpinz - randivision
- letra de shackled to window pains - graves 33