letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de a be killin em - bravo the son

Loading...

intro:
anha aa
bombronx in da house
bravo the son

verse 1:
namkimbiza mwenye baja kwa miguu, am the terminator
kichwa nondo paja kichuguu, nawapiga ngeta
siogopi bullet za gunshot, am iron man
robocop, pigo ni non-stop, mak-mazan

kifua mbele nmetimba ka jan-dush
punguza kelele una mimba so just push
kazi haina kwere kibaka si just-gush
kazi haina kwere nikisaka nipate kush

hivi ndivyo nlivyo siigizi j-po msanii
and a be k!llin em, nyumbani mi ni nabii
na-highjack, kisha na-fly kwa i-track
si-ipack, nipe beat kali ni-rap trash

uwezo mia mia sina tuzo ya kili
wapo wanaochuchumia na kujiita mahiri
pale mjinga anapoongea mwerevu tumia akili
mi nondo kwenye game ukinifata utasubirir
and a be k!llin em, and a be k!llin em
wana-try niko juu n-ggas wako so lame
and imma k!ll dem, and imma k!ll dem
waulize wanaonijua ntachofanya godd-mn

chorus:
naishi kama ndege wa angani mana chini sipatikani like eh eeeh eeyaah
mana mi na wao hatufanani na nilianza kama utani now am on aiiiir
j-po walianza zamani ila speed hazifanani
mi natembeeeea
wao wana stim za mjani mi baraka kanisani
god take caaaare, yechu mana
a be k!llin em n-ggas [a be k!llin em n-ggas] x4

verse 2:
naweza kufanya hip hop, naweza kufanya singeli
nifanye michakatatoo ili badae nisije kufeli
binadamu viroho vya kwatu, ndo matapeli
ndo kwanza nafunga viatu ma n-gga tukutane sheli

kidume ukiwa fake, tunakupa baasha
tunakubatiza jina tunakwita aisha
aisha aisha unanihangaisha ngaihsaa
k-mbe machizi kitaani wan-z-ma data

mana sku hizi hata msiba nao ni kiki
watoto wa kiume umbea kama vibinti
uwezo mdogo unauliza utoke vipi
kula hata mamdogo kwani si ana matiti
kama ukweli unawakera, aisee samahani masela
mana ujanja ni hela, na sio wingi wa mandela
lazima nipite accapela, mtoto wa mama msosi wa jela, msosi wa hela

chorus:
naishi kama ndege wa angani mana chini sipatikani
like eh eeeh eeyaah
mana mi na wao hatufanani na nilianza kama utani
now am on aiiiir
j-po walianza zamani ila speed hazifanani
mi natembeeeea
wao wana stim za mjani mi baraka kanisani
god take caaaare, yechu mana
a be k!llin em n-ggas [a be k!llin em n-ggas] x4

outro:
wuh wuh
n-gga whaaat
kebeni mkalii

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...