letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de braintizer-hustle - braintizer

Loading...

braiintzer hustle lyrics

intro

(wamemchokoza bear)

this is braiintzer

if you’re the hustler

this is for you man! (woo!)

yeah, nakaza buti me na hustle ni kama mchaga na mbege

zima feni maromboso nakuja buti la jeje (ah!)

comrade mautundu unaweza niita mzee mafede

usipagawe me ndo nachi nayepigwa top 10 ya reggae

unahitaji kujipanga hizi zama za magufuli

we hustuki hadi kwa mganga siku hizi huoni matunguli?

onesha ulicho nacho haimaanishi utingishe tak—
namna gani pale sanchi si angekua ndio ndalichako

chako chako akili we mnyonge ndio nguvu zako

ka hauna pato pambana na hiyo ndiyo hali yako

habari yako nimekuzwa sangara na ugali sato yani hapo ni bora usepe na pizza yako

me kiziwi nisiye na macho nayesikia hadi muonekano

ubongo magazijuto nayafungua kwanza mabano

nawatafuta nyie mlipo niwatazame kwa mifano

mnanijaza upepo puto kisha mnanichoma sindano

nasema bado mе na hustle (hustle)

nakaza buti me na hustlе (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

nakaza buti me na hustle (hustle)

nasema bado me na hustle (hustle)
nakaza buti me na hustle (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

coz i’mma boy braiintzer inanifanya nijitume

no motivation to inspire kwenye upele nijikune

hustle na blood kwenye veins ili pochi iwe nene

as you think am not weak me kibonge sio mnene

na tena bado me na hustle nitrend kama g nako kila kona naeka msako wa shilingi na mapato niite mvuja jasho roho ngumu kama pilako a.k.a msaka tonge kila chaka kila bonde

nilipozaliwa nikaitwa victor ili mradi nisibweteke

nianze 0 km nichanje mbuga nisepe

vya kilo nipime kwa lita sanaa inahitaji makeke

nipate pesa nirudi home ili mama naye aacheke

ilipo pesa ndo nilipo ulipo kesha club sipo ulipokesha na vituko vya whatsapp miyeyusho nilipokesha na madesa chuo kikuu cha msoto
tafuta pesa maana ili usiitwe cha kupewa

na nikipata pesa nitanunua had i hali ya hewa

nasema bado me na hustle (hustle)

nakaza buti me na hustle (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

nakaza buti me na hustle (hustle)

nasema bado me na hustle (hustle)

nakaza buti me na hustle (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

na tena bado me na hustle (hustle)

kwani si ni akina nani tusizipate hizo pesa

si ni akina nani tusiwe ka bakhresa

si ni akina nani na daily si tunakesha

kesha kesha ndo maana tuna hustle!

bear ( whoaaa!!!)

lets take over the game!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...