letra de yengs - boutross
yah yah
eyy eyy
waaah (yeah) yeah(eyy) yeah
kaa zimeshika nipate na yengs( nipate na yengs)
usiku akiwika (wah wah) nipate na yeng (haaah)
bei nafika(bei nafika) juu niko maweng (juu niko mawaah)
nikona mayengs ( yeah yeah ) juu niko maweng
nipate na yengs (nipate na yeng)
nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
nikona mayengs(nikona mawaah) nikona mayengs (yah)
nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
nikona(eey) mayengs (yah)
boutross ( verse 1 )
vile navuma , nabagua sura ( eyy )
shawty ni peng cheki hiyo haga inasumbua medulla
walitafuta nilizisunda
mbang”a ni mother amepagawa apewe tunda
shawty anapendanga chuma, bouti anapеnda zenye zimefura
ambia huyo boy wa nacada bouti atapеa huyo ngeos wake chuma
akam nimwonyeshe streets, niimwonyeshe lovers teaching
akam nicheze na cl-t, nimwonyeshe touch ya ulimi
dem alikalia boy kwa uso boy akastop the breathing
shida ni huyo manzi , amezibeba fiti
shawty ni foreign , anatafuta maboy wa kayole
mastar vipi, peana -rg-sm na ndole
kama nawasha, buda mambleina lazima wasonge
bash ikiisha , chota wasupa ong’ong’o atokwe
usichoke kushake mummy , nionyeshe pia wewe msanii
vile nadunda ( uhh ) , buda itabidi umepay mummy
usichoke kushake mummy, shawty anadai huzzy
chunga ukikam na me, ukidai kuchill na me
nipate na yengs (nipate na yeng)
nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
nikona mayengs(yaah) , nikona mayengs (wasupa na sura)
nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
nikona(eey) mayengs (yah)
mastar vk ( verse 2 )
nikona mamanzi juu ya kipaji daily me narusha ganji
uko mabangi na huna kazi buda wachana na angie
weh ni mrazi usinishike buda nikona allergy
wasupa kutoka ujerumani, wote napiga ka tot ya makali
usiku gizani, nipate afande, undercover kwa sheets ya kejani
hata kama ni monday nikona ma collo na kilo moja ya majani
waiter ongeza kwa sahani, nitalipa nina money
sitaruka me si nyani, leta hata kama ni za kappa chwani
baby love we ndio honey, nishajenga nyumba pwani
sitaki uniulize maswali naomba ujaze mdomo na wali
juu kama ni kali ni kali, na kama ni ngori ni moto
basi zimeni hiyo moto jamani, me ni ule fathela wa mangoto
huwezi nipata msoto pahali, msupa alidai ana joto
ati yeye huniona kwa photo, siku hizi ananiona akilala kwa ndoto
nipate na yengs (nipate na yeng)
nikona mayengs ( na si machura ) (yah yah) nikona mayengs
nikona mayengs(yaah) , nikona mayengs (wasupa na sura)
nikona mayengs(nikona ma ) nikona mayengs ( nikona wasupa ) (yah)
nikona(eey) mayengs (yah)
letras aleatórias
- letra de poor pirates - original cast of spongebob squarepants, the new musical
- letra de vhq - kidronin feat. icy freese
- letra de saint valentin (dirty version) - casseurs flowters
- letra de the passion - corey red & precise
- letra de no one in heaven - joel baker
- letra de mess down in egypt - veggietales
- letra de disstagram stories - nocivo regaz
- letra de renfri - pan k
- letra de executioner - abyss above
- letra de coupon - mev_n