letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de i'm sorry - boutross

Loading...

intro
daily mi huserve mafiend
daily huserve mafeind
yea yea yea yea ayy yea yea

chorus
i’m sorry nilianza kusonga(yea)
i’m sorry ulibaki umechill (chill)
local niliwacha kuchoma(choma)
mali me hutoa overseas(yea yea yea)
kusota ni something obvious (uhhh)
lazima ni serve ma fiend (fiend)
fala akikuja na njora
namtolea kitu baridi (prr prr prr)
i’m sorry nilianza kusonga(yea)
i’m sorry ulibaki umechill (chill)
local niliwacha kuchoma(choma)
mali me hutoa overseas (yea)
kusota ni something obvious (uhhh)
lazima ni serve ma fiend (fiend)
fala akikuja na njora
namtolea kitu baridi (prr prr prr)

verse 1
mwes alinichapia nini
kucheza na gang ni risky (ni risky)
buda nilisaree ma fiends hawanipatiangi ganji
hiyo ni fishy (yeah )
kuchеza na bouty ni tricky (tricky)
wao husema bouty ni pinji (uhhh)
siku hizi nilisare za frisking
siku hizi bouty huuzaga ma sweetie (raah)
unashika makali ka charm (charm)
risasi ilipigwa akarun
bouty kuna kitu nililеarn (uuhhh)
zogo haiendi mahali (mahal)
vile aliporwa na fam
i hope my n-gga alilearn
vile ubeshte na biz haipatani
hiyo ni ukweli si utani (uuh)
ni noma ni noma
uko kwa umbali sitaona (sitaona)
ni noma ni noma
uko kwa umbali sitaona
ni noma ni noma
chingri cheza na ngoma
ni noma ni noma
vidole kwa mwenye anabonga
chorus
i’m sorry nilianza kusonga(yea)
i’m sorry ulibaki umechill (chill)
local niliwacha kuchoma(choma)
mali me hutoa overseas(yea yea yea)
kusota ni something obvious (uhhh)
lazima ni serve ma fiend (fiend)
fala akikuja na njora
namtolea kitu baridi (prr prr prr)
i’m sorry nilianza kusonga(yea)
i’m sorry ulibaki umechill (chill)
local niliwacha kuchoma(choma)
mali me hutoa overseas (yea)
kusota ni something obvious (uhhh)
lazima ni serve ma fiend (fiend)
fala akikuja na njora
namtolea kitu baridi (prr prr prr)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...