letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dera - boutross

Loading...

[intro: ajay]
[?]
skia
kwani ni kesho
kwani ni kesho
five eight tano nane
[chorus: ajay]
hadija ukikam kila saa umevaa dera, unatesa, una
halima ukikam kila saa umevaa dera unatesa una
amina ukimam kila saa umevaa dera unatesa una
fatuma ukikam kila saa umevaa dera una tesa una
kila kila mtu na wake (ah)
mwenye hana shauri ni zake
nishike mkono baby tuende dansi
acha nikupande pande
kila kila mtu na wake (ah)
mwenye hana shauri ni zake
nishike mkono baby tuende dansi
acha nikupande pande

[bridge: ajay]
cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
cheki anavrobounce hio ass jiggy jiggy jiggy
cheki anabyobounce hio ass jiggy jiggy jiggyy
[verse 1:ajay & boutross]
boy wa jiji anapenda vinye inatema
dame wa kijiji napenda vile inatetema
skia hizi wachana na ngoma za rema
nabrake hio spine nikaa nataka akuwe kilema
boy wa jiji anapenda vinye inatema (tema)
dame wa kijiji napenda vile inatetema(yeah yeah)
skia hizi wachana na ngoma za rema (yeah yeah eyy cheki)
nabrake hio spine nikaa nataka akuwe kilema

[verse2: boutross]
i said break your back hapo midnight alafu morning joh nikupee breakfast( nikupe breakfast)
only god hukuanga witness juu mi niki m..m..m.. siwezi sema (siwezi sema)
nilimtoka vibaya juu ilikuwa instinct na instinct mi imenisave kwa hii business ( kwa hii business)
some husema mi hukuanga gifted lakini njoti zangu hukuana triplets ( hkua na tets)
nasema preety girls hukuwa jealous vile si drunk in love hukuanga tender hukuanga tender)
ati[?] hajawahi penda vile niki touch your br–sts unakuwa famous (unakuwa famous)
mi ni preety boy yaani preety na swerve hao mangeus kaa boy w-ngu na bri bri (brr brr)
sometimes situation hukuanga tricky khadija ukikam we unajua utakuanga fiti

[chorus:ajay]
hadija ukikam kila saa umevaa dera, unatesa, una
halima ukikam kila saa umevaa dera unatesa una
amina ukimam kila saa umevaa dera unatesa una
fatuma ukikam kila saa umevaa dera una tesa una
kila kila mtu na wake (ah)
mwenye hana shauri ni zake
nishike mkono baby tuende dansi
acha nikupande pande
kila kila mtu na wake (ah)
mwenye hana shauri ni zake
nishike mkono baby tuende dansi
acha nikupande pande

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...