letra de amenipitia - bosco nshuti
Loading...
lyrics
chorus/
na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na huzuni akanirehemu kwa upendo akaniokoa nakuniponya amelipa deni zangu zote
verse1/
upendo usiyo fananishwa rehema ambazo haziishi hayo ndiyo mfalme w-ngu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali waaandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili
verse/2
aliniponya kwa mafuta ya gharama kubwa akafunika jeraha zote nilikuwanazo
bridge/
nitaimba upendo wa mwokozi ulionitowa
gizani nitajivuniya msalaba wa yesu
letras aleatórias
- letra de twice a day - selah sue
- letra de rudolph - dani serene
- letra de avc - lovarran
- letra de let me fly - choi inyoung & koo hye sun
- letra de strangers - diafour
- letra de forgive - axulion
- letra de x. newgen - y0ni
- letra de soyouz - 313
- letra de trouble - twin
- letra de angelwings - makai alexander