letra de kunguni mtu - blue stars modern taarab uganda
chorus
habari zangu unazo-k-mbe kunguni mtu
habari zako sinazo-elewa kunguni mtu.2x
verse 1
unayataka ya watu-kuya fuata asilani
nawe kamwe huna utu-thamani yako ni duni
huto ni tambiia katu-we ni sawa na kunguni
nani aliye kutwika-aje leo akutuwe
mwisho wako umefika-ukaye na utambuwe
chorus
verse 2
utaliya na kununa-hapa ndo mwanzo na anza
naja kuku paka hina-upate kutu pendeza
utani kw-ngu hamna -ni bure ntakuliza
ukome tena ukome -mimi si saizi yako
nenda zako ukorome -asie kujua kikoko
kila mtu umuseme -hiyo ndo faida yako
chorus
verse 3
mtu ni kuwa na haya -mabaya ku yaepuka
wala si wewe malaya -uonaye wa mtaka
kuzua haya na haya -amani ikatoweka
arabuni na ulaya -kwote una kashifika
mfitini uso haya -kw-ngu nini unataka
nini ni mekukuseya -wapita ukini baka
chorus
end
letras aleatórias
- letra de ciao adios - anne-marie
- letra de 거의다 - heejun han
- letra de avant - djadja & dinaz
- letra de forget - sherry-lynn lee
- letra de across the water - lexs
- letra de tatlım tatlım (orijinal film müziği) - ersay uner
- letra de genius freestyle 025 - mozart la para
- letra de pizza - oohyo
- letra de two oh - griffey
- letra de drunk dante - jack vance