letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de uwezo - blessed paul

Loading...

anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe
anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe

alipotembea juu ya maji yesu
alionyesha, anauwezo
alipobadili, maji, yakawa divai
ilionyesha, yeye ni m-weza
bahari ilipochaf-ka alituliza na mawimbi
mitume wote walitambua yeye ni m-weza
anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe
anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe

hata hali ngumu, uliyo nayo mama
mkabidhi yesu, anauwezo
uliyesongwa na shida, uliyebebeshwa mizigo mizito, mwamini yesu, atakutua
aliyekufa msalabani, akasеma yote yamekwisha

mtazame yеye anauwezo

anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe
anauwezo! anauwezo!
usikate tamaa, bwana yuko na wewe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...