letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ni wewe - blessed paul

Loading...

ni wewe lyrics by blessed paul

ahaaa!
blessed paul
kibbz muzik
kalpop music

nimeona malaika wakipanda, na ngazi wanashuka
k-mbe, sababu yake, nimelalia jiwe
hasira zimepanda, daudi anashuka
k-mbe, kombeo lake amelitia jiwe
unang’ang’ana na nguo za sauli, mkuki na upanga mkononi
mwenyewe keshalemewa, utaiweza vita
tunapingana kwa roho si kwa mwili, ushindi tumepata we uoni
na yhwh kwenye msalaba, alimaliza vita

nimeona mawingu yakitanda, ila giza latoweka
k-mbe ni nuru yake, inaniangazia
kibatari nimewasha, mafichoni sijaweka
nia, ni nuru yake, niangazie njia

chorus#
ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w-ngu
ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w-ngu
unang’ang’ana na nguo za sauli, (weeh) mkuki na upanga mkononi
mwenyewe keshalemewa, utaiweza vita
tunapingana kwa roho si kwa mwili, (mmh) ushindi tumepata we uoni
na yhwh kwenye msalaba, alimaliza vita
kwenye msalaba, alimaliza vita

chorus#
ni wewe, yesu
hakuna kama wewe bwana, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w-ngu
jemedari kimbilio tegemeo ni wee, yesu
eeh, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w-ngu
oooh ni wewe, yesu
wewe, mwamba
ni wewe, yesu, ushindi w-ngu
aah ni wewe, yesu
ni wewe, mwamba
ni wewe, yesu… mwokozi w-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...